KUNA MSTARI NIMEUPENDA SANA HAPA. Pretending to be hard, oh my God, check your temperature
Some people are actors, don't believe on what you see just go deep!
Ndo mkali wangu of all time, Mfalme...
[emoji121]
SASA ONENI HADI KAKA'ANGU #CRAZY_G.K
NA KIGUGUMIZI CHAKE KILICHOMPA BONGE LA PUSH NA IDENTITY KWENYE HIPHOP
LEO ANAKUJA KUIMBA SIJUI MIONDOKO YA *ZUKU*,
SIJUI *ZUMBUKUKU*,
SIJUI NINI...
Leo hii chama cha CORD kinachoongozwa na kinara Raila Odinga kinaadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa.
Sherehe hii inayokwenda kwa jina la #ODM10at10Mombasa inatazamiwa kuisha kwa mbembwe za...
Msanii wa maigizo na mziki Snura Mushi amedai kuwa katika maisha yake kamwe hawezi kutoka na mwanaume aliye mzidi umri hata siku moja kama wasanii wenzake wa kike wanavyofanya
Snura ameelezea...
tupeane taarifa wakuu mitaani mwetu kuna wasanii wanaishi maisha ya shida sana lakin media zinatuaminisha kuwa wanaishi maisha ya juu kuna wasanii wamekufa na tulikuwa tunawapenda hakuna...
Kuna msemo unasambaa sana mitandaoni unasema eti Tanzania imebarikiwa sana coz kwenye hivi vitengo vya kimataifa zaidi.
Mpira: Mbwana Samatta
Mziki: Diamond Platnumz
Majungu: Ali Kiba
Je, kuna...
Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana...
Wakuu...
Mwenyewe nimeboreka join hii nikawa naperuzi michuzi baada ya kuchoka my daily job (ku monitor what Magus govt has been up to) mara BOOOOM!
Naona video yake....Gawwwwwgeym. Najua...
HII NI TRACK ILIYOMTAMBULISHA HUYU NDUGU MWISHONI MWA MIAKA YA 90.
KWA YEYOTE ALIYEKUWA NAYO NAOMBA MSAADA
NIM_PM NAMBA YA WHATSAPP ANITUMIE HII OLD HIT.
Habarin wakuu
Karibuni Eid nyumbani kwangu!
Maelezo mafupi ili ufike kwangu
Panda gari hapo ubungo! Ni mwendo wa masaa ma4 then ukishuka msamvu stand moro unapanda dalala nauli 400 unashuka mjini...
Dj fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa na kati anatarajia kusaini mkataba huo na Clouds fm! Baada ya mkataba wake kuisha!
Kwanza kabisa alipopata pesa na umaarufu akaanza kufwata na wasanii wa kike wa bongo wengi wao waigizaji, jamaa bila kupoteza mda akawatafuna wote naaminisha akawa akawa na uhisiano wa kimapenzi...
Mwanamuziki wa Bongo flava asieishiwa vimbwanga mitandao kwa skendo ya kutoka na vijana wadogo walio chini ya umri wake(Serengeti Boys) amefunguka na kusema asipangiwe ni nani wa kuwa naye na...
kijana aliyekuja vizur kweny mziki wa singeli nakuwaaminisha watu kuwa kuna mziki singeli
ila nachojiuliza ana nini kipya ambacho anaanda baada ya haina ushemeji sitegemei kuna nyimbo nyingine...
Nyota wa filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka kuwa kipindi cha nyuma kabla ya kuwa na mahusiano na Mose Iyobo na kabla ya kupata mtoto alikuwa akijiachia sana kwa lengo la kutafuta kiki na wala...
Jana niliona soudy na mwenzake yule nani sijui wana muhoji Fongo nikaskia anatajwa sholo mwamba km ndo alomtumia sms mama wema kwamba man fongo ana mtukana wakati wapo safarini to muleba kwa...
Habari ndugu zangu? Salama?? Kwa upande wangu Mungu anasaidia ni bukheri wa afya,
Kama title inavyoeleza , leo nataka tutaje watu maarufu tunaowakubali hapa nchini ambao kwa namna moja au...
Hey habari zenu wanajukwaa hilii,
Jana niliona hawa Wana Hiphop wakiperform.
Aiseee kati ya wasanii waliopanda na kushangiliwa sanaa kuzidi woteee alikuwa Fid Q. Jamaa hachuji aiseee halafu ana...