Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nimekutana na hii kitu Instagram kwenye account ya Hamisa Mobeto mzazi mwenzake Majizzo(CEO wa Efm) Ambae ndo shemela wake na Lulu kwa sasa, Imekuwepo Maneno ya kuchambana Kati ya hamisa na lulu...
4 Reactions
87 Replies
18K Views
Mtangazaji wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm Loveness Malinzi amedai kuwa hamfahamu Ruby wala Gigy Money kwa kuwa hajawahi kuwasikia hata siku moja
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Rejea kichwa cha habari. Ningependa kujua studio yake mpya ilipo. Thanks.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya Habari nchini likiwemo Gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Oii mamb vp wadau, mimi sipo team yoyote ila napenda mafanikio ya msanii iwe diamond ama alikiba ama msanii yoyote anaepata mafanikio kupitia music industry. Sasa nirud kwenye mada kuu, nasema...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa waliobahatika kuangalia mechi za hawa wababe basi lazima wakubaliane na mimi. Tyson kapigwa mno mchezo wa kwanza hadi akalegema kabisa na refarii kuhamua kumaliza mchezo. Mechi ya pili jamaa...
2 Reactions
153 Replies
20K Views
Ni miezi 9 sasa tangu asaini mkataba na Sony Music lakini Davido hajatoa wimbo mpya. Mashabiki wamechoka kusubiri, yeye mwenyewe amepagawa na mambo yamekuwa si mambo tena! Kulikuwa na mipango ya...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Masanja amedai kuwa kesi ya kuvaa sare za polis ilimfanya akakatiza honeymoon yake ila amedai walienda na sare hizo baada ya kusikia kuwa Kova atakuwepo na waizivaa ili kwenda kukuza mahusianao...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ok Guys I have a Small Announcement to make...!! As Much as I love this Lil angel, Please & I repeat Please, Quit editing her pics and make her look like my own... This baby Got parents and her...
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Kichwa kimejikamirisha tupia mawazo yako.
0 Reactions
33 Replies
57K Views
Habari wana jamvi kama title inavyosema hapo juu nahitaji kujadiliana nanyi kuhusu hawa watu wawili nan mkali kuliko mwengine?? Karibuni
0 Reactions
67 Replies
10K Views
  • Closed
Unawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
3 Reactions
123 Replies
20K Views
Kumekuwa na bifu kati ya Man Fongo na mama wema mara baada ya man Fongo kudaiwa kuongea maneno mabaya kuhusu Wema wakiwa wanasafiri kwenda kwenye Fiesta na maneno hayo kutumwa kwa mama Wema na...
4 Reactions
33 Replies
10K Views
.............................................Wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaam ............................................. Jamaaa anajua Mpaka anakera Aiseee, Tumpe Support ndugu yetu, Ingawa me Siju...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Msanii wa muziki, Shilole ameweka wazi jinsi alivyopata wakati mgumu kuicheza scenes ya mahaba katika video ya wimbo ‘Natafuta Kiki’ ya Raymond. Scenes hiyo inamuonyesha muimbaji huyo wakati...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Christian Bella ameungana na Mrisho Mpoto kwenye orodha ya wasanii waliopo kwenye playlist ya Rais Dkt John Pombe Magufuli. Akiongea kwenye kipindi cha Bongo Beatz cha Star TV, Bella alisema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
East African rapper, Keko has revealed she could throw in the towel at South African Music label Sony soon. The rapper who made history by becoming the first Ugandan to sign a multi- album and...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Huyu dada muimbaji wa muziki wa mwambao kweli ni ameumbika haswaaa. Sijui anafanya kazi na kundi gani kwa sasa Rangi yake ni ile ya watu wa mashariki ya mbali au wanaita rangi ya mtume. Nywele za...
0 Reactions
96 Replies
27K Views
Leo Akiwa South Africa Alikiba Amesign Sony Music ,Lebo hii ambayo inawasimamia akina Chris Brown,Davido na John Legend itakuwa na Kazi ya kutangaza video na Audio za Alikiba Kimataifa na Duniani...
9 Reactions
82 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…