The MTV Africa Music Awards (MAMAs) are back and for the first time in its history it will be held in Johannesburg.
The glitzy ceremony will take place at the Northgate Ticketpro Dome on October...
Recently, Usain Bolt admitted to have had lots of 'downtime' during the 2008 Olympic games in Beijing. In between gold medal races, Bolt filled it with McNuggets and sex.
In his memoir, Faster...
Leo katika mtandao wa instagram kumeibuka mvutano mkubwa na vijembe kati ya mange na lemubebezz tajiri mkubwa lemutuz
Vijembe vilianzishwa na lemutuz kuwa mange ni kibibiz kisichokuwa na kazi...
Usiku wa tuzo za Uganda-2016 mshindi ni Eddy Kenzo.
Ameshinda categories zifuatazo:
-Artiste of the year
-Best male east african act
-Best male artiste.
Diamond platnumz is not winner.
Baada ya Chriss Brown kupost picha ya video yake mpya imezua mjadala mtandaoni hasa kwa wabongo huku wengine wakidai amecopy idea na location kama kwenye nyimbo ya Diamond na AKA make me sing...
Mr. Hart amemuoa mchumba wake Eniko Parrish juzi kati. They look amazing kwakweli.
A happy marriage life to them na watoto wao. Tunasubiri wawili wengine.
Msanii Dully Sykes ametoa maoni yake baada ya tetesi za Harmonize kumuiga Diamond, mara baada ya watu kuzidi kutoa maoni yao baada ya kuachia video yake aliyomshirikisha.
Akizungumza kwenye...
Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile land rover discovery aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali.
Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima...
Msanii wa muziki kutoka TMK Wanaume Family, Chege amefafanua kuwa sababu inayowafanya wasanii washindwe kuwatumia warembo wa video za muziki wa ndani kwenye video wanazoenda kushoot nje, ni...
Jana kulikuwa na ufunguzi wa msimu wa fiesta , na mwamko wa watu ulikuwa mkubwa sana.
Changamoto kubwa ilikuwa kwa waandaaji hasa namna ya uchaguzi wa wasanii waliotumbuiza kuna baadhi ya wasanii...
Bingwa wa dunia katika mbio za mita 100 na 200 Usain Bolt huenda akapokonywa mojawapo ya medali yake ya dhahabu alioshinda katika michezo ya Olimpiki mjini Beijing 2008.
Imeripotiwa na chombo cha...
Je, uliona harusi ya Semenya?
Hivi ndivyo mshindi wa mbio za mita 800 kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka huu Caster Semenya alivyofanya harusi yake na mpenzi wake Violet Raseboya mwezi...
Habari wadau,
Mwanamuziki Kidcali,28yrs ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia Leo wakiwa kwenye tamasha "Pool Party".
Kidcali ameacha mtoto m1 na mkewe akiwa na mimba.Mpaka sasa muuaji...
Msanii wa kuchekesha Idris Sultan amejitoa Rasmi katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kinachosemekana kuwa ni maji kumfika shingoni. Watu wa karibu wa Idris wanasema kuwa Mchekeshaji...
Nguli wa vichekesho kupitia luninga nchini, Masanja Mkandamizaji hatimae kapata jiko.
Nakupongeza sana kijana umeonyesha mfano mkubwa kwa sababu wanasanaa wengi hili jambo kwao ni ndoto kubwa...
Anaitwa Malaika Mihambo,mwanamichezo wa Olympic Rio2016 anayeiwakilisha Ujrumani ktk mchezo wa "Long jump".Baba yake ni Mtanzania,Msukuma aliyekulia na kuzaliwa Znz ambapo wazazi wake walienda...
Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena.Kisa na mkasa na Wema kuisusia show ya Idris, Funny Fellas kwa mara nyingine tena huku mshindi huyo wa Big Brother akihudhuria za...