Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

baada ya kuzinduliwa kwa tuzo za eatv kuna category kumi ambazo sizani kama kuna msanii wa hiphop anaweza akashindana na msanii yeyote wa kuimba hiphop ya bongo kwa sasa inakoelekea ni kupotea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WEMA;asema kwa Diamond kutoka anashindwa,asema Idris a same we bure!!!
3 Reactions
72 Replies
10K Views
Kabla jk hajatia saini huo muswada tujitahidi kuyatoa....:cool: uyu jamaa bwana nimewahi mfuatilia huko insta na alijifanya kuponda sana mtu kuajiriwa...na akafikia hadi kulipisha watu 20,000 kwa...
4 Reactions
50 Replies
14K Views
Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio..... Hata...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Huyu ni Vera Sidika, Kenya Huyu nani? Uganda Na huyu je? Tanzania Hopeful Tanzania tuna best video qeens
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Hii vita ya diamond na king kiba, sio kwamba imeharibu mziki na kufanya wasanii wakubwa hata wakitoa nyimbo zisilete impact kubwa kama ambavyo ingetegemewa. Ila diamond au alikiba akitoa wimbo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Muimbaji Bi. Shakira Said Hamis nguli wa nyimbo za taarabu asilia, ameleza kinaga ubaga mapenzi yake makubwa kwamba anatamani kufanya zingzong na diamond, Bi. shakira hakuishia hapo baada ya...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Katika harusi ya Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Agosti 14, wachekeshaji wenzake wa kundi la Orijino Komedi, walikuja wamevalia nguo zilizofanana na sare za jeshi la Polisi hali iliyowapelekea...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, msanii anayejiita Kaka j yupo wapi siku hizi, ni Muda mrefu sijamsikia mwenye habari zake atujuze tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Maharusi, wazazi wazama bwawani wakikata keki na Betty Kangonga MAHARUSI pamoja na wapambe wao usiku wa kuamkia mwaka mpya, walijikuta wakizama katika bwawa la kuogelea jijini Dar es...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Nasibu Abdul Juma "Diamond Platinumz" "Simba" Chibu Dangote" ni miaka minne imepita toka alipobadili tasnia ya mziki wa Bongo fleva mwaka 2012 pale alipofanya concert ya Diamonds Are Forever bila...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Ndugu wana burudani ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba ndiye aliyewahi kutoka kabla ya Diamond Dangote, Diamond alikomaa kwa kutokubweteka mpaka sasa hivi tangia 2009 bado yuko juu, sasa Huyu Kiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu salama! Ile siku iliyosubiriwa kw hamu ya Event ya utoaji wa Tuzo kubwa Africa za Uganda Entertainment Awards (UEA) imefika. Categories zinazotazamwa zaidi ni zile zilizowashirikisha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,”...
8 Reactions
227 Replies
26K Views
Kevin Hart handed his ex-wife keys to a new Caddy, but she gave him something pretty awesome too -- peace between the mother of his 2 children and his new fiancée. Torrei Hart tells TMZ, the 2015...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa udadisi na kautafiti kangu ka muda mfupi nimekuja kufahamu kwamba,Mameneja wa muziki wa kizazi kipya wanaokamata kwa sasa ni watatu tu,yaani Sallam anayejiita Mendez,Said Fella na Babutale...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo asubuhi kuna taarifa zimezagaa, kwamba wasanii wa kundi la sanaa za maigizo (Orijino komedi) wamekamatwa kwa kuvaa sare (rasmi) za jeshi la polisi katika harusi ya mwenzao, Emmanuel Mgaya...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa. Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema...
2 Reactions
89 Replies
15K Views
Mantiki ya show hii ni nini hasa!?? Uchaguzi mbovu wa Video... Kachumbari mix. Hovyoo. Hovyoo Salama.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…