Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tatizo nin King?Au promo?Fanya kitu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Usiku huu katika taarifa ya habari ya TV1, habari ikielezea uhamasishaji wa wasanii kuupa kipaumbele miziki yenye mahadhi ya uswahili kama segere na singeli nimemsikia Wema Sepetu...
2 Reactions
73 Replies
9K Views
Leo anazaliwa mfalme wa hiphop East & Central Africa... Heri ya siku ya kuzaliwa Ngosha. Fid Q ameendelea kuwa inspiration kubwa kwa vijana na haswa community ya hiphop.. Ameendelea kuiweka...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Birthday ya mtoto wa taifa bila m-bongo hata mmoja, si baba, bibi wala shangazi.
3 Reactions
97 Replies
22K Views
Inasemekana kwamba mwanamziki mkongwe Brandy ni VAMPIRE!!....siku zote yuko young vilevile hajawahi kuzeeka wala hana dalili za kuzeeka.
4 Reactions
85 Replies
16K Views
BASATA imemfungulia Nay wa mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kutekeleza maagizo aliyopewa. Nay wa Mitego atakuwa kwenye uangalizi maalumu wa BASATA ili kuhakikisha anazingatia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau bila shaka kama wewe ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nyimbo ambazo zimemfanya msanii huyu kujikuta star...
11 Reactions
87 Replies
12K Views
Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Msanii nguli wa mashairi ameeleza kwamba kuna bakteria wanakaa njia ya haja kubwa ambao mtoto huwa anazaliwa nao, na hao ndio wanafanya baadae aje kuwa shoga. Pia ametaja tabia ya watoto...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Diamond Platnumz amefanikiwa kile ambacho hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa huku kukiwa na wasanii wachache tu wa Afrika wamekifikia – kuingia kwenye playlist ya kituo cha redio cha BBC...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
President Obama’s eldest daughter, Malia, has made a decision about where she will attend college. And she has chosen Harvard University. Malia, who is due to graduate from high school next...
10 Reactions
134 Replies
17K Views
Anaitwa JUMA MCHINA SHAROBARO , Msanii wa BONGO FLAVA. Sasa hivi mkali huyo kutoka Gang Zhou amekamata soko la ndani hao wakina Daimond na Ali Kiba watasubiri sana. Mcheki hapa alivyojaza watu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Farid Kubanda, mzee wa Mwanza Mwanza kaendelea kutikisa jiji kwa mikito yake heavy yenye line kali zilizoshiba ambazo bila kutumia akili kuzichanganua ni lazima akuache njiani. huu ni wimbo wake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Msaniii Ruby amefanya Cover ya wimbo wa Diamond Platnumz Je utanipenda na kuutendea haki kama vile ni wake akiimba kwa hisia kali sana utafikiri wimbo wake kwa ambao hamjausikia upate hapo Ruby -...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Msanii maarufu wa kike wa Kenya AKOTHEE amewajengea wazazi wake jumba la kifahari. Angalia picha hizi hapa.
2 Reactions
45 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Natafuta mawasiliano ya Nikki wa Pili. Kuna project nataka kufanya nae. Kama una namba yake ya simu au barua pepe naomba uiweke hapa au nitumie PM. Wasalam.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Dazbaba au daz mwalimu, huyu msanii alifanya poa sana miaka ya nyuma kidogo akiwa na kundi la Daz Nundaz vilevile alifanikiwa kufanya kazi zake mwenyewe zilizo fanya poa sana kwenye media tofauti...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…