Hivi punde Standard Media Digital Kenya ime-release video ikionyesha Koffi Olomide akimtandika mateke dancer wake wa kike muda mfupi baada ya kutua Jomo Kenyatta International Airport.
Bila...
Habarini wana jamvi,.
Tabia ya ku-copy na ku-paste swaggz mbalimbali toka kwenye videos za mbele/Marekani anayoiendeleza Diamond imepelekea wadau wengi kuona huyu jamaa ameishiwa ubunifu na...
Ambony,
Kwa Mara ya kwanza leo nimeangalia tamthilia ya kelele kupitia clouds tv. Kwa kweli ni hovyo..yaani kwenye conversation ni pumba tupu. Nimepata waswas Kama wanatumia script au ujuzi...
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekamatwa akiwa nyumbani kwake mjini Kinshasa.
Mwanamuziki huyo amekamatwa kwa agizo la afisi ya mwendesha mashtaka.
Olomide...
Msanii wa Bongo movie Jacob Steven maarufu kama JB amesema anapata pesa nyingi kuliko hata za mbunge na kuwa fani ya filamu inalipa kuliko fani yoyote ile na hana mpango wa kutoka kwenye filamu...
Msanii Jux ambaye sasa ni mpenzi wa Vanessa Mdee amefunguka na kusema kuwa wimbo wake mpya 'Wivu' ambao unafanya vizuri kwa sasa hajaimba kwa ajili ya mpenzi wake Vanessa Mdee.
Ameimba wimbo huo...
Habari wakuu...
Tumezoea maceleb wengi wa bongo huwa hawafichi utajiri wao au mahusiano yao... Wengi wamekuwa wakifanya show off sana... Wengine hufikia hatua ya kukopa au hata kudanganya watu...
WASANII WAKITANZANIA DIAMOND PLATNUMZ NA WENGINEO WATAJWA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA-2016 ALI KIBA NA HARMONIZE WAKIWEMO.
HIZI NI CATEGORIES WANAZOWANIA WASANII WAKITANZANIA TUZO ZA...
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii.Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye,Tiffah umesababisha mjadala mkubwa.
Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao...
Huyu dada Kwa mujibu wa Issa michuzi ameonekana akifanya part ya kuagwa kwenda marekani kufanya kazi ubalozi wetu uliopo huko.Waheshimiwa kibao wameonekana among of them Hon lukuvi,Nchimbi.Mwenye...
Msanii wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha tetesi za kwamba ana bifu na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Dj Majay, Hamisa Mobeto.
Muigizaji huyo ambaye kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi...
Watu wengi wanashindwa kumuelewa Zari anaposema tatizo ni Chibu yani Diamond.
Ali Kiba akitoa wimbo mashabiki wake wanakimbilia kwenye page za Diamond au watu wa karibu yake kulazimisha...
Huyu ni kijana wa muda mrefu kwenye mziki lakini watanzania wengi hawamjui. Amekuwa akifanya kazi zake na band ya B-band lakini kidogo ametambulika kwenye wimbo alioshirikishwa na Kala Jeremiah...
Habari zenu wakuu..
Mm binafs nimekuwa mfuasi mkubwa wa Mange kimambi kwasababu anafichua ukweli uliojificha katika jamii.
Kwa miaka mingi zari amekuwa akimficha mtoto wake wa kwanza ambaye...
While appearing on NTV’s The Beat, the Badilisha hitmaker revealed that he is way bigger than the Tanzanian singer and that he can also hold sold-out shows in Tanzania.
It appears like singer...
Congolese musician Koffi Olomide has been deported to Kinshasa, DR Congo following his Friday morning altercation at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
Olomide was filmed attacking...
Michelle Obama's appearance on The Late Late Show finally aired, and the first lady and reigning coolest mom ever did not disappoint.
As she explained to James Corden, it was only the second...
P-Square kwa pamoja wana utajiri wa N22 billion ambazo ni sawa USD $110 million vijana hawa wawili wenye stashada ya Business Administration katika chuo cha Abuja nchini Nigeria.
P-Square...
Kwa muda mwingi nimekuwa ni shabiki wa kazi ambazo anafanya mrisho mpoto na nimekuwa najaribu kuzinyambua nyimbo zake ila leo nimehitaji kumjua kiundani zaidi huyu msanii anayefanya sana ya...