Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Shilole amesema ameamua kumtafuta mwalimu wa kumfundisha lugha ya Kiingereza inayompa shida kuwasiliana na watu mbalimbali. ‘’Ni kweli nataka nifundishwe vizuri najua kidogo tu vya...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Nasikitika sana kuwa mpaka sasa hivi hakuna Chombo " maalum " cha kuwasimamia na kuchunguza maadili ya hawa Watangazaji wetu wa redio na luninga hapa nchini Tanzania kwani ama hakika kwa...
11 Reactions
102 Replies
14K Views
E fm leo imewaalika BASATA na Nay wa mitego muda huu ktk kipindi chao cha Ubaoni. Kuna malumbano makali. Fuatilia.
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Alijipatia umaarufu mkubwa kwenye vichekesho vya kundi la VITUKO SHOW, alizoeleka kuigiza lafudhi ya kimakonde.... R.I.P Mchekeshaji Kundambanda.. - ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Kanye West leaves Ellen DeGeneres speechless: 'I'm sorry for the realness' t Ellen DeGeneres "Well, it's not daytime television anymore," Ellen DeGeneres said Thursday on her show after a...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
July 22, 2016 Congolese musician Koffi Olomide has been arrested for assaulting a lady at JKIA after Police Inspector General Joseph Boinnet ordered airport police to take action. Olomide was...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Huo mstari upo kwenye ngoma mpya ya Roma (rhymes of magic attractions),ngoma inaitwa "Kaa tayari".Wadau hizi tuhuma zina ukweli ndani yake? === AUDIO: Roma feat Jos Mtambo & Darasa - Kaa tayari
8 Reactions
49 Replies
8K Views
Hapa ndio amekulia super staa Chibu Dangote Kwa sasa ameikarabati
3 Reactions
28 Replies
18K Views
Kwa kweli ww na vijana wako wawili umefanya vzr Just uzalendo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I think diamond platnumz should consider joining the Tanzania Movie Industry.. Many things will change. "Nadhani diamond platnumz angefikiria tena na tena angejiunga na Kiwanda cha Muvi za...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
KIKONGWE machachari kwenye tasnia ya muziki wa Bongo fleva Bibi Cheka, amesema hakukata tamaa tangu akiwa kijana, alijipa moyo kuwa siku moja kila mtu atamjua kutokana na juhudi zake binafsi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Msanii wa Kimataifa "Alikiba" anayetamba na kibao cha #Aje aendelea ku-make headlines Africa na dunian kote hasa baada ya kupata dili nono, Baada ya Kuwa offical brand ambassodor wa kampni kubwa...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
  • Closed
Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz Mr Pombe. Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho...
2 Reactions
36 Replies
10K Views
Za Weekend JF, Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtangazaji wa EATV kwa aina yake ya utangazaji, ni mmoja ya watangazaji makini sana wanaochipukia, maana wasoma habari wengi wanaoibuka kwa sasa wamekuwa...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Mbunge sugu yupo fnl kukitambulisha kichupa chake na kujibu maswali wanayomuuliza mashabiki wake ....
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Unajua kinacho mfanya Jay Z kuwa kati ya wasanii na pengine msanii pekee anae heshimika hata akiwa sehemu za public au akiwa kwenye events tofauti tofauti either zaki muziki, biashara, fashion...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
sijui ni kutafuta kick na umaarufu au ni njia ya kutafuta wapenzi. ukigoogle majina ya wasanii wa Bongo utaona picha zao nyingi ni za uchi au nusu uchi. hata wasio wasanii naona nao wanaiga...
1 Reactions
34 Replies
35K Views
Bloga anayetegemewa kurudi bongo wakati wowote kuanzia leo ameanza kuandaa mazingira mazuri kwa wenyeji wake watakao mpokea bandarini baada ya kuwarushia maneno kadhaa kwamba wanauza sembe ambapo...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…