Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo Pengine ilikuwa ni utani...
3 Reactions
59 Replies
44K Views
Wadau mwaka jana wakati kama huu tayari Alikiba alikuwa amevunja rekodi kwa kutwaa tuzo nyingi zaidi kwa Mara moja toka aanze muziki! Hizi ni tuzo ambazo zimejizolea umaarufu mkubwa toka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mtangazaji wa diva kupitia twitter Amembana mbavu Naibu Waziri Dr. Kigwangalla baada ya kulitolea tamko suala la Lady Jaydee na Gadner. Ikumbukwe kwenye kipindi cha XXL, Diamond Platnumz...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Katika pita pita zangu nimekutana na uchafu wa Shishi baby. Kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwenguni kote wapo kwenye toba.
4 Reactions
79 Replies
16K Views
BY CAPITAL LIFESTYLE Bobby Brown was introduced to “heavy” drugs by Whitney Houston. The ‘Every Little Step’ hitmaker – who was married to the ‘I Will Always Love You’ singer from 1992 to 2007 –...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndoa ya Mwana FA haikuwa ya kifahari lakini ilikuwa bora, yenye furaha na iliyochangamka kuliko nyingi alizowahi kuhudhuria Ommy Dimpoz. Akizungumza kwenye documentary yangu maalum niliyoipa jina...
5 Reactions
11 Replies
7K Views
CHRIS BROWN WHILE HE IS IN BARCELONA WATCHED THE GAME 7 FINAL CAVALIERS VS GOLDEN STATE WARRIOR IN HIS OWN STYLE..
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Msanii Alikiba amefunguka na kusema kuwa muziki hauna siri na muziki hauna tofauti kati ya mtu na mtu kwani unaweza kuwa una chuki na yeye lakini akiimba muziki mzuri ukapenda kazi yake na kuimba...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Nimecheka sana, na hakika sitaikosa hii! Leo Jumanne, saa 3 usiku sheikh Al-Habib Hilal Kipozeo atakuwa mgeni kwenye msimu mpya wa kipindi cha Bongo Movie (Take One, New Chapter) akizungumzia...
3 Reactions
46 Replies
21K Views
ukifatilia sana kwa wasanii wengi kujikuta wakiwa katika matatizo ya kuzidiwa na Unga na pia almost wengi kuingia huko wengi wao kwa kutokujua na wengine kwa kujua na mpaka kufikia kiwango cha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuachana na matumizi...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wana Jf, salaam kwenu. Binafsi napenda kukubaliana na kitendo cha Serikali kupiga marufuku wimbo wa CHURA. Lakini labda ningependa wadau mnisaidie kunifahamisha kama kimaadili kuna tofauti gani...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Msanii AY, amesema kwasasa anakazania masomo yatakayomfanya kuwa Rubani. “Nataka kurusha ndege hicho tu ndio ninachokikazania, nataka nitimize ndoto zangu zikifanikiwa moyo wangu utaridhika mno,”...
1 Reactions
39 Replies
8K Views
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. MKURUGENZI wa Kituo cha Kusaidia Waathirika wa Dawa Za Kulevya, Sober House, kilichopo Bagamoyo, Pwani, Karim Banji, amekanusha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia wimbo wa Sugu, Freedom ikipigwa kwenye TV ya Clouds kuashiria kumalizika kwa bifu kati ya wawili hao. Kweli wanaume hawanuniani bali husameheana.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva / waigizaji (bongo move) kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii. Wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila wengine wanakuwa...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Kidumu, amefunguka kwa kusema kuwa watu wengi ikiwamo Wakenya wanadhani kwamba yeye ni Mtanzania kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wakuimba kwa lugha ya...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya...
7 Reactions
38 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…