Kuna mtu anayeifuatilia [angalia] hii documentary inayoonyeshwa na ESPN?
Ina sehemu tano. Sehemu ya kwanza ilionyeshwa Jumamosi iliyopita kwenye chaneli ya ABC na sehemu ya pili inaonyeshwa leo...
Leo nimebahatika kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2016, viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park pale mnazi mmoja.
Pamoja na watoto kuonesha vipaji vyao mbalimbali kama...
PSQUARE, BRACKETS, MR FLAVOUR,TEKNO NA WENGINE NDANI YA HII VIDEO..
BAADA YA MSANII MMOJA WA KUNDI LA BRACKETS LA NIGERIA KUPONA CANCER (KANSA).WASANII NIGERIA WAUNGANA KUSAPOTI MAPIGANO YA KANSA...
I'd like to share this video.
Wizkid and Chris Brown Perform Together In Amsterdam During Chris Brown World Tour - ( VIDEO)
Powered by TubeMate (TubeMate YouTube Downloader 2.2.8 - Official...
Ikitangazwa shindano la Lulu Husband Search naamini vijana wengi wa kiume watajitokeza kuwania nafasi hiyo moja. Lulu ni mmoja kati ya wadada warembo zaidi hapa Bongo na wanaojua vizuri kuvaa...
Star wa muziki nchini Marekani Lil Wayne ameshambuliwa kwa mara nyingine tena na ugonjwa wa kifafa.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, ndege binafsi aliyokuwa amepanda rapper huyo, ililazimika kutua...
Wema na Idris katika pozi
Aidha katika kauli nyingine ambayo Wema aliitoa mapema mwaka huu, alisema anatumia Sh 30,000 kwa ajili ya chakula kwa siku na kama atanunua na chakula cha mbwa wake huwa...
Kama ni kweli basi Dimpoz atakua na pesa ndefu, Ommy Dimpoz anapiga madili ya hela ndefu. Siku chache zilizopita Ommy Dipoz akiwa na mastar wenzake alipokea simu ya dili la milioni 400 unajua...
Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi za WCB na kujionea uwekezaji uliofanywa na rais wa label hiyo Diamond...
Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond...
Kupitia instagram account yake Diamond ameandika haya..
"Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, Akanishirikisha kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halaf ghafla naskia habari ya...
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye...
Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza...
Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video alipoulizwa na shabiki yake ni lini...
Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika...
Ninamiaka 37 kwa sasa,mwaka juzi nilikuwa nasoma pale techobrain mnazi mmoja , nasomea computer in it,nimesoma miezi sita kwenye diploma,sikumaliza course nipo home ila nataka kuendelea,je...
Moja ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana...