Mchoraji maarufu wa vibonzo na mtangazaji wa Clouds FM, Masoud Kipanya amekiri kuwa misimu miwili iliyopita ya shindano la Maisha Plus ilipoteza mvuto kutokana na kuwachanganya vijana na akina...
MDOGO-MDOGO, DIAMOND ATABWIA UNGA
PESA ina kelele mno! Ukiwa na fedha, unaweza kujitahidi kujificha lakini ikawa vigumu. Unawezaje kujificha wakati noti zimetuna kwenye waleti? Ubavu upi unao wa...
Toka Jay Moe arejee na ngoma yake ya Pesa ya madafu kumekuwa na upinzani mkubwa sana toka kwa mashabiki wa hiphop.
Wengi wanasema anafanya muziki wa kibishoo ambao sio hiphop orijino.
Ni kweli...
Ujio wa wasanii wapya wa kazi ya sanaa katika UIGIZAJI na UIMBAJI, unaonekana kuwatoa na kuwasahaulisha kabisa wasanii wa zamani tuliowazoea.
Wasanii kama, Ray, Johari, na wengineo katika maigizo...
Mchezaji wa wa mchezo wa tenisi,Maria Sharapova, amesimamishwa kushiriki katika mchezo huo kwa miaka miwili mfululizo, hatua hiyo imekuja baada ya nyota huyo kufanyiwa vipimo vya kugundua kama...
Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani.
Bifu la Alikiba na Diamond linaonekana kuathiri mpaka mfumo wa watu wa pembeni...
Muigizaji na mrembo mwenye vituko kibao, Faiza Ally, amesema atafurahi sana endapo atampata mtu wa kumuhonga kwa sababu hajawahi kuhongwa hata siku moja.
Akizungumza kupitia kipindi cha Kubamba...
Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kushiriki kwake katika kampeni za siasa wakati akifanya harakati za kutaka kuingia bungeni kumempatia ujasiri mkubwa katika maisha yake.
Katika uchaguzi wa...
I used to think Snoop Dogg was born smoking weed. But boy, I was dead wrong. According to Snoop himself, he has never smoked any 'til the first night he met Tupac. The 2 exchanged freestyles, and...
Mwanamuziki Diamond Platinamuz atafanya show nchini Australia kuanzia tarehe 15 16 na 17 July katika miji ya Melbone Sydney na Peth, kiingilio kitakuwa laki tatu za bongo kwa kichwa na ticket...
Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi...
Hawa jamaa naona hii collabo yao inaweza kuwa gumzo kwa staili waliokuja nayo, nimeona clip zao kwa kweli wanaonyesha ubunifu flani hivi wa kuvutia kiaina, huyu Katarina wa Karatu daah, ni bonge...
Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka
Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi muda mfupi baada ya Profesa Tibaijuka kufungua mkutano wa Kimataifa unaohusu upatikanaji wa...
Matonya ni mwanaume anayejua kuhonga, kwa mujibu wa mpenzi wake, Gigy Money.
Akizungumza katika kipindi cha Kubamba cha Times Fm Jumapili, Gigy aliweka wazi mahusiano yake na Matonya ambapo...
Muigizaji na mrembo Bongo, Faiza Ally amesema hayupo tayari kurudiana kimapenzi na baba watoto wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, ila yupo tayari kuzaa nae mtoto wa pili...
Zari the bosslady ameamua kumwaga mboga, kutoboa sufuria na kuzima moto kwa vikurumbembe wamaomsema anavaa kigodoro kwa kupost picha inayoonesha "ze utamu" live.....
Duh hii kali mama tupe nusu
Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima...