Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Nyota wa Muzikibwa Kimataifa , Lady Jay Dee amekutana na Katibu Mkuu wa Chadema kwa Mazungumzo katika eneo la Nyumbani Lounge , D'Salaam . Bado haijafahamka...
10 Reactions
69 Replies
3K Views
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni Mfalma we Rhumba za kweli. Ni mwanamuziki ambaye ukiwa mpenzi wa Rhumba lazima utenge siku maalum ya kusikiliza mziki wake. Bahati mbaya Dunia ya Sasa inataka vitu feki kuliko...
37 Reactions
92 Replies
6K Views
Msaani maarufu wa Marekani na producer wa label ya Bad Boy record, anaejulikana kwa jina maarufu la P diddy, sasa tumbo joto baada ya mama yake na Christopher Wallace almaarufu Notorious B.I.G...
35 Reactions
325 Replies
25K Views
Katika kuperuzi huku na kule youtube si nimekuatana na nyimbo za huyu anaitwa Monique Sekka, nilikuwa simjui, nadhani atakuwa mkongo huyu. Yaani hadi sasa kichwa kinauma baada ya kusikiliza 'Yaye...
17 Reactions
81 Replies
14K Views
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
12 Reactions
65 Replies
3K Views
Nip ametimiza miaka 5 leo, tangu alipofariki 💔 🕊️ pumzika kwa amani
3 Reactions
11 Replies
860 Views
Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Umewahi kuitazama muvi ya Wonder Woman iliyochezwa na mwadada Gal Gadot? Ni muvi inayohusu wanawake Fulani wanaofahamika kama Amazon Women. Kwa mujibu hadithi za uhiriki (Greek mythology)...
31 Reactions
130 Replies
10K Views
Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana. Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali. Sina nia mbaya...
9 Reactions
104 Replies
15K Views
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi...
7 Reactions
141 Replies
42K Views
"Tuliishi mitaani na kulala kwenye stoo ambazo tuliweza kupata godoro. Mimi na mama yangu tulijibana pamoja kwenye godoro hilo. Hayo ni majira ambayo mambo yalikuwa mabaya sana kwa mama yangu na...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
"Baada ya kuona maisha yamekuwa magumu niliamua kukimbilia kwa baba aliyekuwa anaishi Lindi ambapo alinipeleka gereji kujifunza ufundi wa magari. Nilikuwa na ndoto nyingi kupitia ufundi huo lakini...
6 Reactions
37 Replies
7K Views
kwa wale wanaopenda kwaya za kikatoliki, Bernad Mukassa si mgeni kwao, yeye ni mwalimu wa kwaya ya Mt. Kizito makuburi, ni mtunzi alijizolea sifa nyingi kwa utunzi wake wa nyimbo. hata ukichukua...
12 Reactions
35 Replies
47K Views
1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wanajamii forum wote. Hii ni kwa wake wapenzi wa edm music. Kwa wafuatiliaji wa muziki huo nadhani mtakuwa mnakubaliana na Mimi kuwa Martin Garrix ndiye dj anayekimbiza zaidi kwa Sasa...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki...
16 Reactions
217 Replies
14K Views
Huyuu👇👇 Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
15 Reactions
79 Replies
5K Views
Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…