Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Staa wa bongomuvi ameliwa denda live kama yale ya Hollywood katika movie mpya. Je ndo kuendelea kwa sanaa yetu?
5 Reactions
54 Replies
18K Views
Inafuraisha kuona wasanii wetu sasa wanaelewa thamani yao na kupambania stahiki zao kwa utaratibu wa kisheria. Hatimae Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo...
11 Reactions
251 Replies
39K Views
Karne hii baadhi ya wasanii wanajichetua mno maadiri ya mtanzania miaka 10 ijayo sijui itakuaje inasikitisha sana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni. Ameongea...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Mwimbaji gwiji wa muziki wa TAARAB asilia kutoka Zanzibar wa kundi maarufu duniani lenye miaka zaidi ya 105 Nadii Ikhwaan Safaa (Malindi Musical Club), Bi Fauzia Abdallah, amefariki dunia...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Izzo busness, Stamina, Country boy, Quick rocka, Baba levo, Ali kiba, Nuh mziwanda, Gigy Money, Shetta na Kimbunga mchawi.. Sasa nimeanza kuamini kauli ya nguli wa muziki wa Hip hop, Juma...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Awali nilitaka hoja hii kuiweka katika jukwaa la Great Thinker nikaona sina fursa hiyo..hope mods wanaweza kuweka huko.Tujadili kama watu wasio na mihemuko -------------------------- Kwa maoni...
13 Reactions
49 Replies
8K Views
Mke wa rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amevitaja vitu anavyovipenda kufanya akiwa nyumbani. Akifanya mahojiano na waandishi wa habari wa Clouds Media...
6 Reactions
69 Replies
13K Views
Kwa jinsi movi inavyoendelea kati ya Ndindindi na Jide.. Inabidi komando atoe remix ya wimbo huo Ndindindi ameshirikishe True boy ili aweze kumchana vizuri Ndindindi mana komando hampi makavu live...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani. Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia...
1 Reactions
74 Replies
19K Views
  • Poll Poll
Tufahamu hapa, maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k. Tumalize ubishi hapa. Mimi kura yangu...
0 Reactions
49 Replies
16K Views
2002 Miss TZ 2003 Miss TZ Je wameshaolewa na wana familia zao? Maana sijasikia skendo zao hawa mabinti....! Au ile ELIMU waliyoipata pale UDSM imekuwa very useful to them kuweza kujitambua...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Star wa Tanzania Diamond platnumz ni miongoni wa mastaa 3 wa Africa waliopata shavu la kufanya show kubwa zaidi nchini Marekani kwa wasanii wataotoka Africa kwa mara ya kwanza. Wizkid, mr flavour...
3 Reactions
55 Replies
11K Views
Ni wasanii wa kike wanaokonga Nyoyo huku sauti zao zikisadikiwa kuweza hata kumtoa chura alikojificha. baadhi ya hit single zao ni DAYNA NYANGE(NYAMA NDOGO) 1.mafungu Nyanya 2.Nivute kwako 3.i do...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
hawa ni producers wa mziki waliofanikiwa kutengeneza hit single kitaifa na kimataifa TUDD THOMAS 1.Number one remix-diamond ft Davido 2.Ndagushima-Ommy dimpoz 3.Make me sing-Diamond ft AKA...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha...
0 Reactions
116 Replies
44K Views
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake...
10 Reactions
117 Replies
22K Views
mwenye kujua chochote kuhusu hili kundi yaan linaundwa na akina nani?? wote ni maprodyuza?? hit singe walizotoa au walizoshirikishwa ama chochote unachokijua kuhusu hili kundi tiririka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Binafsi naamini yahaya itafunika tarehe 20 mwezi wa tano kwa kuwa muhusika bwana Yahaya kashatambulika na anajijua, mtalimbo wake Jide kashatwambia umelala na hautainuka mpaka mwana wa Adam...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…