Sikuwahi kuwaunga mkono waliokuwa wanamzogoa Kanumba wakati alipolazimika kuongea kiingereza huko BBA, lakini hii baada ya kuingia kwenye tovuti yake kwa kweli imebidi na mimi niongee kitu.
Hivi...
MKALI wa wimbo wa ‘Mkungu wa Ndizi’ aliyerudi kwa kasi katika muziki wa Bongo Fleva, Abubakari Shaaban maarufu Q Chiller, amesema kwa sasa anatamani kufanyakazi na Diamond Platnumz.
Q Chiller...
Muigizaji wa Bongo movie na 'baby mama' wa Mbunge wa Mbeya Mjini maarufu kama Sugu afunguka Instagram kuhusu mapenzi yake kwa mzazi mwenzie na kutoa tambo za kutosha kuwa hata Sugu akioa nyumba na...
Bendi mya ya ogopa kopas classic band modern taarab ambayo ni bendi inayokuja kwa kasi mjini.
Bendi hiyo chini na ukurugenzi wa malkia Khadija omary kopa sasa. wanatarajia kufanya uzinduzi mwezi...
Msanii ambaye ni rapper mkongwe wa muziki wa bongo fleva Witness, amefunguka kuhusu picha yake iliyoleta utata kwenye mitandao, na kusema hakuwa na nia mbaya alipoipost.
Witness ameyasema hayo...
Mwanadada Ray C amekimbizwa hospitali ya rufaa ya Muhimbili asubuhii hii akiwa mahututi. Ugonjwa unaomsumbua haujajulikana, amewahishwa hospitalini hapo asubuhi hii na kaka yake Tony pamoja na...
Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila kwa kifupi “Socialite” ni neno la kingereza...
Ni asilimia 1 katika paundi milioni 1.7 zilizochangwa na mastaa na wafanyabiashara wa Uingereza kwaajili ya kuisaidia taasisi iliyoanzishwa na mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba...
Mwanamziki maarufu wa Tanzania Diamondplatinamuz aka chibu amerudi kutoka safari ya mbali ambapo alipiga show za kufa mtu. wakati akiwa uwanja wa ndege alihojiwa na waandishi wa habari ni kitu...
Nimetega sikio toka asubuhi sijawasikia Kipanya na Fina nimesikia tuu sauti za baBra na Fredwaa mtoto wa Sanya juu kwani hawajaanza kazi?
Mnaosikiliza ule upande wa pili vipi PJ na Hando wameanza...
Ni baada ya Mr Makonda kusema mwisho wa kupiga mziki kwenye kumbi za wazi ni saa sita usiku badala ya saa tisa kama ilivozoeleka
hili ni balaa kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab, Hapa Kazi Tu...
Bwana lemutuz umekua ukijitangaza sana kwenye mitandao ya kijamii kua unaanzisha radio yako huko mkoani Morogoro na itaitwa Swahili Radio FM ambayo nafahamu ipo chini ya Swahili African Media Ltd...
Wapendwa naomba kujua habari za Saida Karoli. Kwa sasa yuko wapi na kama bado anajihusisa na muziki?
Naombeni pia mwenye namba yake anipm kwa maana mbali na kujua hayo nayouliza hapo juu...
William Malecela alienda kumsalimia mtuhumiwa wa wizi wa fedha za umma na kumkuta akiwa na hali mbaya ameomba watu waende kuwajulia hali.
Bwana William aliambatana na mfanyabiashara maarufu bwana...
Kipanya na Fina wamerudishwa rasmi clouds fm katika kipindi cha power breakfast. Wameeanza kazi leo na mwenye access ya clouds fm anaweza kuwasikiliza.
Hongera Ruge.
Ni ukweli usiopingika kuwa kijana Naseeb Abdul ana historia ambayo vijana wengi wanaichukulia kama motivation katika juhudi zao wanazofanya kila siku....Kutoka kuwa muuza mitumba ambaye baadhi ya...
Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media...
Ommy diompoz amewataka vijana wa kiume na wakike tutafuta pesa alafu ndo utajua muonekano wako halisi, amejitolea mfano yeye mwenyewe kwa kutupia picha hii
Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa kumtukana matusi ya...
Katika muda ambao kila mmoja alikuwa amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz ameamua kutulia na mpenzi mmoja, mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi karibuni staa huyo ameanzisha uhusiano wa...