Huyu Mama Sijui Ameolewa?
Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha...
Sabakher Wadau;
Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme!
Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil...
Igweeeeeeee jamani mimi mleta taarifa baada yakupata ubuyu huu kutoka mitandao mingine siongezi wala sipunguzi ila ukitaka juwa ukweli omba diamond aje apime DNA bongo pale ocean road maana SA...
Toka wimbo wa NIKIKUPATA mpaka SOPHIA. Ben Paul ameendelea kuthibitisha ubora wa kipaji chake maridhawa. Belle 9 ni kipaji kingine adhimu katika ardhi ya nchi yetu. Wasanii hawa wawili mpaka leo...
Kwenye kipindi cha Friday Night Live ambacho kinarushwa na East Africa Television na East Africa Radio, Vanessa ametoa jibu kuwa yeye anapenda pesa zaidi, kuliko mapenzi, na kuibua hisia kuwa...
Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'?
Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The national...
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea kuandamwa na mzazi mwenzie Faiza Ally. Kwenye Instagram Faiza kafunguka hivi:
Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.
On the other hand...
Msanii Ray C amevijia juu vyombo vya habari vinavyoandika taarifa za uongo juu yake, kuwa amerudia kutumia madawa ya kulevya, na kuahidi safari hii atavifikisha mahakamani.
Katika ukurasa wake wa...
JUMA Kassim Ally maarufu kama ‘Sir Nature’, alizaliwa mwaka 1980 katika hospitali ya Ocean Road, jijini Dar es Salaam na kupata elimu ya msingi katika shule ya Kurasini.
Maisha yake ya shule...
Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye...
Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani mwa...
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amesema kama angekuwa anatumia Madawa ya kulevya na tayari ameshaathirika basi angewataja wale wanaomuuzia ili kuisaidia serikali kutokomeza...
Hali ya yote natanguliza samahani kwa leo kugeuka 'mwanaume wa Darisalama',ni kwa leo tu jamani, siku nyingine sitakuwa 'mwanaume wa Darisalama'(natania tu jamani).Tuje kwenye mada...
Nikiwa miongoni mwa Watanzania tunaopenda kufuatilia muziki wa nyumbani nimetokea kuvutiwa na wasanii mbalimbali wanaofanya genres tofauti tofauti za muziki kama vile hipohop,rap,r&b,pop,housing...
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja.
Audio imetengeneza na Nahreal
Video...
Wema Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka...
Leo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape
Uyu jamaa game inataka...