Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.
Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange...
Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo mmoja serikalini, bahati haikuwa yake mwigizaji Kajala Masanja kwani mimba hiyo imechoropoka. Rafiki wa karibu na mwigizaji huyo ameliambia...
Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni mwa wiki iliyopita na watu ambao alisema hajui lengo lao, habari ya heri ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael...
Ally Kiba na Diamond wakiwa kwenye'Buffet'
wakichukua msosi pamoja..
Leo kutoka ukumbi Mlimani City, Dar es Salaam kuna hafla ya kumpongeza Rais Kikwete kwa utawala wake wa miaka kumi, pongezi...
Kwenye maongezi hayo Dogo janja amesikika akimponda Madee na Team nzima ya Tip top..
##Tuwe makini sana kwenye hii dunia ya kidijitali...Siri si siri tena##
Dar es Salaam: MKALI wa Mipasho Bongo, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ hivi karibuni alipata msiba wa baba yake Mzee Ramadhani Ally Makonga lakini baada ya mazishi ikadaiwa msanii huyo aliwafanyia...
Mme wa zari ambaye pia ni mganga wa kienyeji(sangoma)amekamatwa huko south africa kwa sababu ambazo hazijulikani ila najua umeshajua ni kwa nini???wazee wa mgumashi maana deal zao ni kama za...
Habarini.....
Leo insta naona kuna Maneno yanaendelea chini chini kubwa Bi dada wetu Wema Isack Sepetu sasa Amehamishia penzi kwa Mcongo Man anae itwa APOCALYPSEBELLA Millionea Mmoja ambae...
Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.
Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo...
Mwanasheria Albert Msando ambaye alipata ummarufu kupiti CHADEMA alipo ukwaa udiwani wa moshi na kupata shavu kadhaa za uwakili sasa ameonesha nyodo za kutosha kupitia ukurasa wake wa instagram...
Nimejaribu kufuatilia mahojiano mengi anayofanya huyu dada kwenye kipindi chake cha Sporah Show, kuna vitu ananishangaza, kupenda kuuliza maswali ya ajabu ajabu yasiyohusiana na kazi (maswali ya...
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!
Yote haya...
Habarini wana Jamvi
Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote...
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Siro, amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye ni shabiki na ‘anazikubali’ nyimbo za Icon Diamond Plutnumz.
Akizungumza kupitia kipindi cha Sun...
Haya ma-celeb wetu wa kibongo hawa...Inabidi wafundiswe PR......
flaviana matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo
Dear Ankal Michuzi,
Nimesoma nukuu inayosema kwamba binadamu siku...
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake.
Kama kweli ye kidume awachane hawa...
Bila shaka sura hii sio ngeni kwenye tasnia ya filamu na muziki nchini! Msanii huyu ni maarufu sana kwa watayarishaji wa videos za muziki wa Bongofleva nchini na hata wasanii husika. Ni mwanadada...
Hellow
Huyu jamaa mbona anajua sana mziki lakini cmwoni aki-heat kwenye anga za mziki yani nyimbo zake hazipigwi sana kama za akina Nicki Minaj au Chris Brown au beyonce, sababu inaweza ikawa ni...
Siku chache baada ya Ney wa Mitego kutoa wimbo unaoitwa shika adabu yako na kumponda Msanii Rat kuwa bado anaishi nyumbani, Msanii huyo amesema sio kwamba sina uwezo wa kwenda kupanga ila Mama ana...