Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kupitia kipindi cha weekend chartshow cha Clouds Tv msanii Linex amemchana vibaya Adam Juma na kumtupia lawama kwa kumfelisha kwenye wimbo wake 'Salima', amesema huo wimbo audio ilikuwa kali ila...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Mark Zuckerberg ambaye ni mmiliki wa Facebook na raia wa Marekani mwenye asili ya Uisrael,amekuwa akipigia sana upatu ndoa za jinsia moja na kutaka zihalalishwe na mashoga wapewe haki yao kama...
3 Reactions
46 Replies
9K Views
Sina uhakika kama Diamond na Rommy waligombana lakini kwa habari za chini chini inasemekana kuwa Rommy na Diamond walitofautiana ingawa wao hawakuthibitisha hilo! Taarifa za chini chini zinasema...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Maisha ya mtu yamejaa vitu vingi vya kuvutia,kufurahisha na vingine vya kusikitisha na kutisha. Haijalishi ni jambo gani ulilonalo Nijuze inakupa nafasi ya ku-"share" na marafiki zako au watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hazijapita siku nyingi toka Alikiba atoe video na audio ya Lupela, nyuzi nyingi zilianzishwa kuponda kazi yake na wengi wakisisitiza kwamba video ni mbaya!! Sasa leo baada ya kutoka video ya...
8 Reactions
58 Replies
7K Views
BASATA NALO NI JIPU LINALOHITAJI MTUMBUAJI. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni Shirika la umma lililoundwa kwa Sheria ya Bunge Na. 23 ya Mwaka 1984. Historia inaonyesha kuwa, Sheria ya kuunda...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Saa chache baada ya ney wa mitego kutoa hit singo yake ya ''shika adabu yako'' na moja ya mistari ya singo hiyo inamchana ommy dimpoz kwa kusema haeleweki na jogoo lake halipandi mtungi yaani...
5 Reactions
158 Replies
41K Views
Emmanuel Mgaya, maarufu kama "Masanja Mkandamizaji" aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la "Ze Comedy" kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Hivi kati ya King zamunda na mkali wa matuzo bongo Dimond, nani anakula mkwanja mwingi akiitwa kwa show?
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kibao hicho ambacho kitakuwa Hewan Leo kweny vitu vya Radio na Mitandao ya Kijamii! Haya hapa ni baadhi ya Mashahiri yanayosomeka kweny kibao hich akionekana ku wa Diss watu weng sana! =======...
3 Reactions
92 Replies
32K Views
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba. Mwenye...
0 Reactions
95 Replies
20K Views
Baada ya Taarifa zinazosema wimbo wa Shika adabu yako umefungiwa na Basata haya hapa aliyoyasema Nay
0 Reactions
8 Replies
3K Views
waje waje wadau..? et ni muziki gani wa bongo fleva kati bongo za zamani na za sasa zinakukonga nyoyo..?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Haya sasa Chibu dangote!Diamond katika ukurasa wake wa twitter amesema kuwa wiki hii anaachia video mpya ya kwake na kutaka watu kukaa mkao wa kula. Sijajua Diamond ana maana gani wakati Kiba...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Viatu vya dola elfu 12 vya Jose Chameleone Viatu vya dola elfu 12 vya Jose Chameleone Wewe ukijikakamua zaidi unaweza kutoa pesa ngapi kununua kiatu....? Haya basi ,mwanamuziki maarufu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema February 3, 2016 Kampuni tatu zimejitokeza kutaka kumtumia kibiashara mtoto atakayezaliwa baada ya staa wa filamu Wema Sepetu kujifungua baadaye mwaka huu...
1 Reactions
123 Replies
19K Views
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia. Musa mateja SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Here is how Zari and Ivan Ssemwanga became rich in one day. Big Eye / January 9, 2015 Big Eye Zari-Ivan Tycoon Ivan Ssemwanga needs no introductions. He, like his grandfather Pinto who was a...
1 Reactions
30 Replies
15K Views
Hivi ukiangalia hili beef nani anafaidika sana kati ya awa wawili....na je akitokea mtu wa kuwapatanisha nani yupo radhi kuona hili beef linaisha kabisa iwepo amani kati yako.....maoni yenu tafadhari
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…