Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya kuangalia comment za wabongo wengi kwa mda mrefu kuhusu video mbalimbali nimegundua wabongo wanapenda video za marangirangi, yaani mbongo akiona umetoa video isiyo ya rangi hata ufanye...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo katika pitapita yangu nikakutana na mahaba motomoto ya enzi hizo ya Shyrose Bhanji na Mzee wa wateule Jaffarah,kabla huyu dada kujihifdhi kwa Mbunge Sugu,alikuwa na kijana wa kundi la Wateule...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume. Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa na Josephine Mushumbusi kubariki ndoa nchini Canada kabla ya sikukuu ya Pasaka itakayoadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa tatu. Chanzo: Gazeti
0 Reactions
83 Replies
14K Views
Kwa muda sasa nipo hapa JF lakini sijawahi kuandika suala linalohusu bongo fleva. Lakini leo acha nitowe mtazamo wangu juu ya muziki huo.Huku nikijikita kwa Diamond na Ally Kiba. Nimeusikiliza...
1 Reactions
64 Replies
13K Views
Mnasemaga ni uswahii....na hii je! Wenyewe wanaiita prostate massage, kwamba mtoto wa kiume unapokua kwenye game mwanamke anaingiza kidole njia ya hajakubwa...... Wanasifia mshindo wake ni...
1 Reactions
108 Replies
21K Views
Jana ktk uzinduzi wa ngoma yake Lupela walikuwepo Mwanafa, Jide na Gadna sasa sijui walisalimiana au laa, lakini kwenye picha it shows Jide hakufurahi maana hakutabasamu kama wengine na binamu nae...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu, Mimi mgeni humu naombeni kuuliza swali... Jana 50 cent alikuwa akipost memes kuhusu meek. Na ukipitia comments utaona wengi wakishangilia na kufurahia. Nitaweka attachments ya...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Ni vita mpya huko Instagram.. Baada ya ile ya Zari na Wema Amberose na Kanye Sasa ni zamu ya Batuli na Ray! Huyu anasema amedhulumiwa yule anasema hajawahi kudhulumu..
0 Reactions
59 Replies
11K Views
Mtanzania mwenzetu huyo katika shindano la Tecno own stage plz Gonga HAPA
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya wiki iliokuwa ya moto kwa wasanii kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii, kati ya msanii ruby na king kiba. Hatimaye maneno hayo yamechukua sura nyingine wiki hii Habari kutoka...
5 Reactions
37 Replies
8K Views
Hebu tuangalie hii marriage proposal tuone kama hapa kwetu inawezekana
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mchekeshaji wa kikundi cha Orijino Komedi ameweka wazi mpango wake wa kufungua kituo chake cha radio na tv ambavyo atavisimamia yeye mwenyewe. Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwanamuziki nyota wa Tanzania leo ameweka Record ya kuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kupata deal kubwa zaidi ya ubalozi. Diamond amesaini mkataba huo leo akiwa na mpenzi wake Zari the Bosslady...
8 Reactions
137 Replies
29K Views
Floyd Mayweather shows off luxury private jet as boxing legend continues UK tour Floyd Mayweather has shown fans around the inside of his private jet He posted pictures of the Gulfstream V on his...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mjomba walau hata mstari mmoja tu nipatie maana yako "Sizonje" "..milango ipo wanapita madirishani..."
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hii hapa ratiba ya mtoto wa Tandale
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wana bodi, maneno hayo hapo chini ndiyo aliyoyaandika mke wa aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa Tunasoma magazeti..........
1 Reactions
38 Replies
10K Views
Prince Harry's rumoured love interest American PR-girl Juliette Labelle looks effortlessly cool as she steps out in LA Royal, 31, is said to have 'hooked up' with American PR-girl Juliette...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni leo mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…