Habari wakuu,
Mi mgeni humu naomba niseme jambo..
Of coz nna maana yangu kupost hii kitu muda huu huenda mtaa wa pili washaenda katika kazi zao za kumroga mzee mzima King Zamunda..
Ni jambo...
MARA nyingi kibinadamu ukiwa maarufu unajisahau kuwa unaweza kurudi na kuwa mtu wa kawaida. Hakuna garantii na Mungu kuwa utakuwa maarufu mpaka kufa. Ukikumbuka hili, utaanza kutayarisha maisha ya...
Mtayarishaji wa muziki mkongwe Allan Mapigo anadai muimbaji nguli wa taarabu Mzee Yusufu alikua na mpango wa kufanya hip hop, lakini yeye akambadilisha mawazo kutokana na kuona anafaa zaidi kuimba...
Miss Tanzania 2006 na aliyekuwa ex wa Mr Blue,Kanumba,Diamond,model wa Namibia,Jose Maraa,Kigogo wa ikulu na watu kadhaa wasio na majina makubwa hapa town amewekwa katika list ya wateja wa...
Leo jioni Gadna kachemka kwenye kipindi cha 'kubwakubwa'!
Akiwa Na mwenzake redio EFM wamedai vita ya kwanza ya dunia ilikuwa Kati ya Mwaka 1905 hadi 1907! Ukweli ni vita hiyo ilikuwa Mwaka...
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana...
Leo hii ndani ya XXL ya Clouds FM msanii MB Dogg amethibitisha kwamba mpango wa kuwashirikisha wanamuziki mashuhuri kutoka Marekani Lil Wayne na Chris Brown ktk wimbo wake upo na wanatarajia...
Do you want to read a book about the lives of famous Hollywood couple Beyonce and Jay Z, or are the numerous tabloid stories enough to give you an insight into their lives?
A Tanzanian author...
Anayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo...
Nyota njema uonekana asubuhi,mtoto wa rais mwenye Ikulu yake Madale pembeni kidogo ya jiji la Dar es salaam Tiffah au mtoto Tee amepata dili la kusoma bure kutoka shule ya ushuani wanakokula...
Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW...
DIAMOND PLATNUMZ ashinda tuzo tooXclusive Awards 2015 kwenye kipengele cha #AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.
DAVIDO NA WAZIKID WAMETOKA SIFURI KWENYE KATEGORI ZAO.
HABARI KAMILI
BONYEZA HAPA
NAAMINI...
Nipunguze tu lepelepe nyiiingi.. NI hivi , kuna celebrities au celebs kwa wale wana swagga.. ambao una wakubali, una wapa respect yako kwa asilimia 100, Hawa kujui ila una waheshimu sana nakuwa...
Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, amewashtua baadhi ya mashabiki wake baada ya hivi karibuni kuibuka baada ya ukimya wa muda mrefu, ambapo imejulikana mrembo...
Mwanadada mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa Kitanzania, Mungu akubariki na akuzidishie!
Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada...