Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi huyu ndio alishika namba mbili baada ya wema sepetu???.. Mbona alistahili kushinda yeye???..
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Nimeangalia na kusikiliza cover kibao za wimbo wa Hello wa Msanii nguli wa Uingereza 'Adele'. Leo nimeangalia na kusikiliza cover ya msanii wa kibongo Beka nimegundua dogo ana kipaji si haba...
7 Reactions
45 Replies
16K Views
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala...
6 Reactions
99 Replies
13K Views
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Nilikuwa nacheck mtv base kipindi chao cha verified nimeona ngoma ya nagharamia imepingwa.Naona jamaa baada ya lile shindano la face of tanzania kunakitu wamejifunza..
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Akihojiwa na mtangazaji ktk kipindi cha nevarna eatv amesema alilazimika kuongeza umri ili aruhusiwe kushiriki mashindano ya urembo kwani alikuwa chini ya miaka 18.
4 Reactions
55 Replies
53K Views
wadau wa hili jukwaa nisaidieni jina la huu wimbo https://www.jamiiforums.com/attachments/ffff-mp3.317157/?temp_hash=e406f9181b16c7f85accf76f0986207a
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Icon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa. Akizungumza na TBC juzi...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Enjoy ZAWADI Ya Valentines .
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Usishangae kukuta instagram Mbwana Samatta ana followers 81,000 tena wameongezeka juzi sababu ya hype ya karibuni,Ulimwengu Thomas ana 66,000 na yule daktari wetu aliye Marekani aliyegundua...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
“Namtaarifu Komredi Yusufu Makamba, kuwa yule kiboko yake 'MATONYA' amefariki usiku wa kuamkia leo kijijini kwakwe Mpamantwa wilaya ya Bahi, mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni kijijini hapo...
0 Reactions
128 Replies
26K Views
Sahizi kwenye magroup mengi ya Whatsapp kuna hii namba ya kihindi inatembea sana +91 72 99 899640 Ni ya kihindi kwa code zake na ukiuliza chochote kile wabakujibu within a second its like...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello, Cpwaa nadhan anajua mziki ila sahiv naona yuko kimya sana, anafanya ishu gani sahiv?? labda warumi waweza kuwa na jibu juu ya hili. Action, 6 in the morning etc... izo ngoma zake...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wiki iliyopita rapper wa Kenya Jackson Ngechu Makini a.k.a Prezzo alipokuwa kwenye mahojiano na Betty Kyalo wa KTN ya Kenya, aliulizwa kuhusu msanii mwenzake Jaguar, swali ambalo liliamsha upya...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini Jf Tanzania tukiwa katika hali sintofahamu kwa kilicho tokea Zanzibar tarehe 12/1/2016 kuhusu ubaguzi ambapo vijana wanao daiwa kuwa ni wa CCM kupita na bango lilowataka Machotara wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kitabu kipya cha maisha ya Beyonce na Jay Z kimeingia mtaani. Ni kitabu kilichoandikwa kwa kina kuhusu maisha ya wanandoa hawa maarufu duniani. Kina kurasa 100, picha za kuvutia na historia zao...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Shilole,Eddy Kenzo wa Uganda penzi jipya. Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini...
0 Reactions
64 Replies
20K Views
Icon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa. Akizungumza na TBC juzi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Akihojiwa na Savannah fm ya jijini Mwanza kwa njia ya simu katika kipindi cha "Bongo fleva na mbongo fleva wetu" aliulizwa kwanini ameweza kuwa kwenye mahusiano na staa bila penzi lake kuyumba...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…