Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Watu wanamwaga povu kisa Diamond na baadhi ya wasanii wamejitokeza kuipigia kampeni CCM na madai yao ni kwamba wasanii ni wasaliti wa mabadiliko!! Guys, are serious?! Hivi ni kwamba hatufahamu...
12 Reactions
91 Replies
12K Views
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Alikiba ndiyo msanii aliyepata nomination nyingi (4) kuliko wasani wote wa East Africa, huku hasimu wake Diamond akiambulia nomination 2 kwenye tuzo hizi. Note: Hii ni kavu kavu bila collabo...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Huyu jamaa nakumbuka sana jinsi alivyokuja kwa kasi sana na hit songs zake kama Silali, Marry me, Follow me, Roho yangu. Hadi nakumbuka kuna interview moja msanii Diamond aliwahi kukiri kuwa Rich...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Kama ilivyo ada kuwa upatapo mtoto ni lazima umpatie jina, lakini wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina pasi na kuwa na sababu ya kwanini wanafanya hivyo. Lakini hii ni tofauti kwa msanii...
2 Reactions
20 Replies
11K Views
Wanajamvi, Katika wasanii ambao nilitegemea wawe karibu sana na CCM ni Ray C...siongelei kiushabiki maana ni ukweli ulio wazi Ray C amesaidiwa sana na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kiasi kwamba...
1 Reactions
54 Replies
16K Views
King kiba angetunga bonge la nyimbo kwa ajili ya ukawa kwasababu inaonesha ni mpenda mabadiliko siyo kama wale waliyonunuliwa
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Nchi zote duniani kuna masikini (wa kipato) na matajiri wa kipato. Hata siku moja haitatokea kutokuwa na masikini; la sivyo maneno masikini na matajiri halingekuwapo kwenye msamiati (vocabulary)...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
•Wasanii wawili manguli wa Bongofleva nchini, Alikiba na Diamond Platnumz wamechaguliwa kuwania Tuzo za AFRIMA AWARDS zitakazofanyika Tarehe "13th-15th of November" in Nigeria...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
CHINDOMAN~huyu ndo A town Icon na ni fundi haswaa wa story katika nyimbo zake,story ya nyokaa,tumbonii,na nyimbo zake nyingine nyingi,umbwaa anaweza sana kupangalia story kwenye verse JCB~ukisikia...
0 Reactions
48 Replies
15K Views
Leo katika kipindi chake cha super mix amediliki kusema yeye hataki siasa. Hivi huyu mtu anajitambua kweli? Mimi ni shabiki wake na kila siku nilazima nimsikilizage Ila leo ameniacha hoi. Hivi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila'Ray C' amedaiwa kufanya vurugu katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar baada ya kuchelewa kupata dawa za kupunguza makali ya matumizi ya madawa...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
  • Poll Poll
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili. Chagua msanii unayemkubali kisha vote. Team zote mbili karibuni sana Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Habari wana Jf Hivi kuna hii tabia ya watu tofauti kuchanganya wadhifa wa watu bila kujitambua. Ni nini hasa tofauti kati ya superstar(staa) na celebrity(mtu maarufu). Nahisi itasaidia wengi...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu. Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Muimbaji wa kundi la Rock la U2 na mwanzilishi wa One Campaign, Paul David Hewson maarufu kama Bono amewakutanisha wasanii wa Afrika wakiwemo Diamond, Banky W, D'Banj, Omotola, Waje na wengine...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Nimeanza kuona weusi na Vanessa wanatumia resources kibao kujitangaza AFRICA ila mimi kwa mtazamo wangu naona ni ngumu. MOJA YA SIFA YA MALENGO NI KUWA Lazima yawe ACHIRVABLE( yawe...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Wanajamvi naomba mwenye taarifa na mahali alipo mtangazaji wa zamani wa vipindi vya muziki katika televisheni ya CTN Rahma Aziz. Ni mmoja wa watangazaji wachache wabunifu katika vipindi vya muziki...
2 Reactions
61 Replies
18K Views
Nyumba ya msanii Batuli aka Cleopatra yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni. Hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote. ======== Msanii wa...
1 Reactions
84 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…