Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili...
ELIZABETH Michael ‘Lulu' anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana'ke.
Habari zinaeleza...
Habari wanaJF,
Nipo nasikiliza Hot 96 radio ya Kenya namsikia DJ Mafuvu anagonga Bongo Hip Hop za hatari ndani ya kipindi cha Mistari,
Je ndio DJ Mafuvu kala shavu kwa mzee Kenyatta!?
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na...
Wa Michezo Hapa Nchini Tanzania Maulid Baraka Kitenge Kwa Kuwa Mbunifu Na Kuwa Na Vipaji Vingi. Kwa Sisi Wapenzi Wa Kipindi Cha Michezo Cha E FM 93.7 Habari Ya Mjini Cha Sports Headquarters Kwa...
Tanzanian artiste, Naseeb Abdul, aka Diamond Platnumz, is a popular artist in his home country. He holds eight Kilimanjaro awards.
The singer recently did a hit with Nigerian music star...
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi Ray alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka...
Mwanamuziki wa kufokafoka wa Marekani, Kanye West ameibadilisha biblia inayotumiwa na Wakristo kwa kuweka jina lake badala ya Mungu.
My take: Utajiri ukizidi ni shida
===================...
Hii Interview ilifanyika 2014.
DX: A lot of people dont like Tupacs character in the Notorious movie. What are your thoughts on it?
E.D.I. Mean: I feel like Anthony Mackie was put...
Leo tarehe 21 mwezi wa nne 2015 bwana Said Fella amesikika akihojiwa redioni kwamba wanakuja na utaratibu wa kusimamia mauzo ya muziki hapa nchini kwa kuanzisha kampuni ambayo itasimamia mauzo ya...
Baada ya kusimama kama sio kuporomoka kabisa kwa hii tasnia ya filam Tanzania.Msanii Wema Sepetu a.k.a ex-wa diamond amekuja kwa kasi baada ya kuanza ushiriki katika international movie huku...
Wakuu,
Inafahamika kimataifa kuwa hakuna mwanamziki Jembe, anayekamua anayetesa kama King Kiba hapa Bongo. Je, kuna mwanamziki gani mwenye uwezo wa kutisha kama King Kiba?
Hakuna bana
jamani hivi hili suala la watangazaji wa televisheni na radio kuwa mameneja,maproducer,mapromoter wa wasanii wa bongo movies na bongo fleva, lengo lao ni lipi hapa? na je msanii akikataa kuwa...
Sina budi kumuomba msamaha mkali wa rhymes Afande sele kwa kitendo changu cha kumuona snitch alipokubali kuimba kwenye show ya straight music kumbe kweli alifata masirahi, na ndio ambacho hata...
Muimbaji wa Chekecha, Alikiba amesema kwa sasa hafanyi tena muziki wa playback bali ni live peke yake.
Akiongea na 255 ya XXL kupitia kituo cha redio cha Clouds FM, Kiba alisema siku si nyingi...
Baada ya kuvimba kwa kipindi kirefu hatimaye wamebwaga manyanga na kuamua kurejea twanga pepeta
Kweli nimeamini Twanga ni Kisima cha burudani ndo maana Choki na Nyamwela wamerudi Twanga na...
Kuna underground kutoka Iringa anahojiwa sahivi na Mchomvu, anasema huwa anawasiliana na Diamond, kila akitaka kutoa wimbo anamtumia 'brother' aijaji kama inahitaji marekebisho, then akashangaa...