Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mapema leo Diamond alipogusa Aiport ya Mombasa... Diamond akiwa pamoja na watoto yatima huko Mombassa kabla ya tamasha lake.
0 Reactions
124 Replies
14K Views
Jux ndio muanzilishi wa kampeni ya 'Unfollow Davido' kule instagram. Jana SAA NNE usiku ndio alipost kampeni hiyo ikiwa ni dakika 20 tangu Davido a post ile sentensi. Watu wakaanzia pale na...
0 Reactions
76 Replies
13K Views
Wakuu heshima kwenu. Kwa mara ya kwanza nimeamua kuangalia mashindano ya Miss World lengo likiwa kujua ni wasichana wa aina gani wanaenda huko na vitu gani hasa wanavipa kipaumbele. Ukweli...
12 Reactions
129 Replies
14K Views
Karne ya 19 mwishoni, mtaalamu wa uchumi nchini Italia, Vilfredo Pareto, alitambulisha kanuni inayoitwa "The Principle of Least Effort" ambayo inajulikana pia kama 80/20, kwamba asilimia 80 ya...
21 Reactions
72 Replies
26K Views
Mwanamitindo maarufu wa Tanzania Flaviana Matata alikuwa bega kwa bega na mwekezaji na nguli wa hiphop Russell Simmons katika utambulisho rasmi na kuchangia Flaviana Matata Foundation 'FMF'...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Salaam Yule mshiriki wa BBA season 9 kutoka Africa kusini mrembo Samantha kesho ataingia nchini. Source: ukurasa wa twitter wa Idri$ $ultan(ultimate hotshot)
1 Reactions
17 Replies
4K Views
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu " Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu”...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani kuna mahali nimesoma kuwa miss Ukonga 2013 Martha Gewe kafariki dunia. So sad, Rest in peace Martha.
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Huyu ndo kijana mtanashati anayetuwakilisha mjengoni BBA kwa mwaka huu 2014, anaitwa Idris Sultani. Alikuwa photographer/graphic designer ndani ya kampuni ya i view studio. Kila la kheri...
2 Reactions
218 Replies
32K Views
"Kwanza sisikilizagi Clouds redio ya kis****e hiyo" Nakumbuka maneno hayo aliyasema 20% Jumamosi flani ya mwaka juzi alipokuwa anahojiwa kwa simu kwenye kipindi cha Bongofleva kinachoongoza na...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Waliokuwa washiriki wa mashindano ya Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan wa Tanzania na Samantha Jensen wa South Africa wameanza kuonesha ukaribu wakiwa nje ya jumba la mashindano hayo...
3 Reactions
52 Replies
12K Views
Nimesikitishwa sana na kifo cha binamu yangu khamis Kayumbu Amigoras kwa matatizo ya moyo, Amigoras ni ndugu yako na amefanya kazi kwenye band yako kwa miaka 18! Unajua tatizo lake la afya...
5 Reactions
67 Replies
12K Views
Habari ndiyo: Nkosi Sikelel' iAfrika
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Anaejua location ya campuni ya jokate naomba Masada wako
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naziona dalili za Idris kuingia mikononi mwa Lulu. Comment ya Lulu "he made it: Idrissssssss! na picha aliyopost ni viashiria!
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu Nina shida ya haraka na Mc pilipili,mwenye contacts zake aniwekee hapa tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mdada mtangazaji wa star tv ameolewa na Raymond Nyamwihula ambaye naye allikuwa mtangazaji wa star tv, ila kwa sasa anafanya kazi Arusha ni Beural master. wameonesha harusi yao kwenye citizen...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
1 Reactions
80 Replies
14K Views
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
0 Reactions
48 Replies
16K Views
Hii imetokea katika club mmoja nchini Uganda baada ya Davido kutoka katika club hiyo na kurudi Hotelini.Davido kwa sasa yupo nchini Uganda.Mwenyeji wake ambaye ni Mdogo wa Jose Chamilion...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…