Haya miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa tayari yuko London ready for Miss world. BBC Swahili, Sporah interviews zimeshafanyika.
Haya Happiness Go and Represent, You got my support girl.
Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiofaaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa...
Mwenye taarifa zaidi atujuze.....nimesikia dk hii.
Nasikia amefia Muhimbili usiku huu kutokana na tatizo lake la pumu.
Kama kweli, R.I.P Amigolas....mwimbaji wa Twanga Pepeta.
Mwanamuziki Mary J Blige kutoka Marekani amekataa kumkubalia mumewe kuwa na rafiki wa kike.Je,kunani?
Msanii huyo wa siku nyingi anayefahamika zaidi kwa wimbo wake wa ''No More Drama'' ameolewa...
Si utani amejaliwa kuwatafuna na kuwatema kama Diamond, tupo kwenye sherehe hapa magorofani Bunju nyuma ya Moga, Ngasa anaoa mwingine sijui wa ngapi huyu. Siweki picha maana mwenye nyumba...
MASAI APELEKA BARUA YA UCHUMBA NYUMBANI KWA WAZAZI WA WEMA SEPETU
POINTI YA MSINGI
Shangwe zaidi iliongezeka kwa mama Wema baada ya kusikia Masai huyo ana mji Singida tena kwenye kijiji ambacho...
HALI tete ! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash Kapteni na Mbongo Fleva , Judith Daines
Wambura Mbibo Lady Jaydee au Jide...
Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee , Elizabeth Michael ' Lulu' amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na masharobaro akidai kuwa siku zote ni pasua...
Mdogo Wake Beyonce Atia Aibu Katika Harusi Yake
Solange Na Mme Wake Alan Ferguson
Harusi Ya Aina Yake Ambayo Ilikuwa Ni Ya Kawaida Sana Bibi Harusi Hakutaka Mambo Makubwa Mambo...
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya' amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi mazito na kushauriwa kubadilika kitabia.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa...
Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na...
MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee' ya kutozungumza na...
Say no to domestic violence!
Jana Msanii Lady Jaydee alipost picha akionesha kidole cha Mtu aliyeumizwa. Leo kapost akisema kuwa kile kidole kwenye picha ni chake. So, captain alikua anatoa...
Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba...
Kim Kardashian Break the Internet Assignment
Kim Kardashian, Break the Internet, assignment is definitely generating headlines. On the PAPER cover mag , Kim perfect oiled booty and the iconic...
BAADA ya kula bata za kutosha Bongo, wakati wakisindikizana kimahaba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz'na mrembo mkali kutoka Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss...