Nimemtazama Jokate a.k.a kidoti leo kwenye mashindano ya Miss TZ 2014 na anaonekana kufungasha mzigo wa kutosha(shundu)
12th October 2014 10:25 1413098737781.jpg
1. Lady Jay Dee
Ni wachache sana watapinga kuwa Jide hastahili kuwa mwanamuziki bora zaidi wa Bongo Fleva., moja ya silaha zake kubwa ni Consistncy aliyoonyesha tokea ameanza shughuli za muziki...
Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, King Majuto amesema hivi kariburi alimshawishi Wema Sepetu azungumze na mpenzi wake Diamond Platnumz ili wafanye kazi ya pamoja.
Mzee Majuto ambaye...
Msanii wa bongofleva Baba Levo amepata ajali:
Ni saa tisa kasoro mchana Msanii wa bongofleva Baba Levo anaipiga simu millardayo.com na kuongea kwa tabu kwenye usikivu ulio mdogo na kusema kwamba...
Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Menina Atik a.k.a Menina la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya...
Nilibahatika kuusikia wimbo wa Joseline redioni jana. Japo ulikua unaishia ishia.
Bila shaka ni wimbo mpya. Jamaa hakika anajua na amerudi kikweli kweli, ni bonge la pini la RnB.
Bahati mbaya...
Chezea Ruge na Kusaga wewe.
Fiesta wasanii wote wa Bongoflavour wanalipwa- laki tano Tano, Hata uwe na Tuzo- Mia, Hit songs milioni.
Clouds hawakulipi- zaidi ya Laki Tano..Kuan zia Diamond...
Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno...
Nipo Iringa ukumbi wa Club VIP, kuna show ya huyu kijana Rich mavoko, imenivutia sana, licha ya watu kutokuwa wengi sana ( huenda kutokana na kutofanya matangazo ya kutosha au kiingilio kuwa...
Katika tuzo za IRAWMA zilizokuwa zikifanyika nchini Marekani msanii "Diamond" amewapiga za uso wasanii Davido na Awilo na kuchukua tuzo ambayo walikuwa wamewekwa kwenye category moja.
My...
"Why Google Removed Linda Ikeji's Blog Spot Website" – Google.com Manager For West Africa
Oct 9, 2014 – "Why Google.com Took Down, Deleted Linda Ikeji's Blogger Website" –...
Recent reports from MTO suggest that ex couples, Wiz Khalifa and Amber Rose may be on the path to reconciliation after all. It is alleged that they plan to meet this weekend to sort things out...
O.J. Simpson has allegedly contracted HIV from his transsexual lover in prison! The 67-year-old football legend serving a 33 year sentence for a number of felonies including kidnapping and armed...
HUU HAPA UTHIBITISHO.
Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,
Hapa Alikiba, anamwambia Diamond, nyumbani ( SHAROBARO RECORDS) kuna kila kitu, beats kali, management nzuri and all that, kitu...
Wasanii wa bongo wanachelewa sana kujitambua ni kichefuchefu kiufupi hawa jamaa majina yanafifia kiukweli ila naamini kipaji bado kipo maana wamezaliwa nacho. Ndo maana mpaka kesho sishangai...
Hawa ni baadhi ya wasanii ambao kwa mtazamo wangu wana bahati mbaya kwa kuvuma kipindi ambacho anavuma Diamond,i mean isingekuwa uwepo wake kwenye game kwa wakati huu wangepata attention/tuzo...
Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi, alisema CEO wa MCSK, Maurice Okoth.
Kwa sasa Diamond ndiye msanii wa...
Diamond Platnumz amekua noinated kwenye tuzo kubwa kabisa nchini Nigeria zinazojulikana kama The Headies Awards . Diamond yupo kwenye category ya Best African Artist ambayo inajumuisha wasanii...