Kalapina,
Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni...
Waswahili wanasema "Pesa ni Sabuni ya Roho" na wengine wanasema "Pesa ndio furaha ya kweli".
Rapa Rick Ross amedhihirisha hilo baada ya kuvunja Mjengo wake wenye thamani ya $35M sawa na Bilioni...
All you incredible artists remember this show isn't the fact just the opinion of a group of people who's name are kept a secret.
Literally you can google it congrats to anybody winning anything...
When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi...
Gazeti kubwa marekani la WALLSTREET JOURNAL linadai Elon Musk ameshiriki kwenye matumizi ya madawa yasiyoruhusiwa kama vile LSD, cocaine, ecstasy na psychedelic mushrooms (Magic Mushroom) hasa...
Before y'all scream 'free jeff' just remember when young thug was beefing with Lil Wayne back in 2015.
Thugger literally tried to smoke Wayne by shooting up his bus tour, image trying to kill rap...
Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi.
👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy...
Nikabofya wimbo wa Roma, kabla haujaja ukaja wa Diamond kama content iliyolipiwa ili niitazame..
Zamani nikajua haya malipo ya youtube na kadhalika ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa wasanii...
Baada ya watanzania kuonesha shauku ya kumuona bondia namba moja Africa, Hassan Mwankinyo akipanda ulingoni na local boxer Twaha Kiduku.
Mwakinyo ametoa bei yake ya kupanda ulingoni sh million...
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend...
Carl Weathers, ambaye shughuli zake za utafutaji wa ugali zili anzia kwenye mchezo wa nfl Hadi uigizaji.
Ana kumbukwa kutokana na uigizaji wake nzuri, kwenye filamu kama Creed, na Predator...
Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza?
Written by...
Deadline day shoking transfer
Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari...
Huyu mwanamuziki nimetokea kumfahamu pale alipofunga ndoa na binti mrembo Irene Uwoya, sasa nikaanza kusikiliza nyimbo zake.
Wajuvi wa mambo mnisaidie huyu huwa anaimba muziki wa aina gani?
Na...
Tarajia Kolabo Nyingine Kali Kutoka Kwa Rapa Wa Marekani #RickRoss aka (Eric mwalyosi) (@richforever) Pamoja Na Simba [emoji881] diamondplatnumz Baada Ya "Waka Waka" Ya 2017
#RickRoss Katika IG...
Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita.
Haji Manara amejibu,
"Wakati mwingine unatingisha...
Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo.
Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X,
“Hii tasnia yetu bana kuna vitu...
Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya.
Akiwa...