Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Wakati akimpa mama yake, Sanura Kassim ' Sandra ' gari la Sh . milioni 38 huku akitawanya mamilioni ya fedha kwenye matukio mbalimbali , staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond...
1 Reactions
84 Replies
13K Views
Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada. Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Members wa badoo nani anamjua "sisemi jina"
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa...
1 Reactions
100 Replies
16K Views
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva , Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' hawamtaki kwa madai kuwa ana...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Mheshimiwa Mbunge wa viti maalumu Vicky Kamata amefaulu kuweka stress zote pembeni baada ya mipango yake ya kufunga ndoa kutibuka. Ametunga wimbo wa kumkejeli aliyemtapeli kimapenzi na...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
  • Closed
Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadindaamesema kuwa amekuwa akikutana na changamoto kutoka kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa kumtaka...
0 Reactions
35 Replies
18K Views
Mkuu kamayangu Nasoma mpekuzi blog siamini Nijuavyo uko na familia na ndoa Yako Hawa mabinti wawili wanaokugombania nini jipya umekikosa kwa huyu dada shemeji. Jamani aanze kuzalilishwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ' THT' Estalina Sanga ' Linah ' ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone &#8216...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Leo nimekuja na ujumbe vijana wenzangu nia yangu ni kuwapa uwelewa na kuwatoa ktk usingizi. Natambua wengi wenu hamjui na hamtambui dunia hii inaongozwa kisiri., yaani ni siri ambayo iko wazi na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
KWAHISANI YA DOMOZEGE.COM Leo chungu cha 19 Inshaallah
0 Reactions
46 Replies
24K Views
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya...
0 Reactions
62 Replies
11K Views
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA. Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna...
2 Reactions
130 Replies
22K Views
  • Closed
Bi dada huyu amekuwa akiposti bidhaa zake anazodai anaziproduce yeye na kuziwekea price tag za madolare ya maana. Kumbe bwana sio bidhaa zake, bidhaa hizo ni za trebellawigs. Amekamatwa live na...
8 Reactions
275 Replies
32K Views
Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria. Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya...
2 Reactions
37 Replies
9K Views
NEWS DAILY Tanzania imepata ugeni toka Nchini Marekani naye si mwingine ni Terrence J ambaye pia ni mtangazaji wa E! Entetainment Tv ya Nchini Marekani,akiwa na wenzake amefanikiwa kuikanyaga...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ' Penny' , sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Msanii wa kizazi kipya maarufu kwa jina la Profesa Jay ameachia picha kibao siku ya leo huku zikimuonyesha akiwa katika hali tata akiwa na watu waliovalia jezi kama za jeshi la polisi, katika...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…