Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa...
Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao.
Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na...
Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao.
HII NDIO...
Nataka nianze kumsikiliza huyu mwamba .. baada ya kujua kuwa Yeye na studio yake wameproduce Soundtracks za kwenye Creed 3 .
Wanazi wa hip hop
Scars
Extrovert
Nipeni ngoma tano Bora za huyu...
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri.
Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao...
Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza.
"Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata...
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?
Jamaa alikuwa na maduka kila kona ya mji, alikuwa na biashara kila kona alikuwa tajiri anayemiliki marange na maV8 alikuwa akitembelea maduka...
Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.
Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila...
Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser".
Kupitia ukurasa...
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
Maisha ya ustaa hutesa wengi sana, ila kwa kua ndio wamechagua ndio njia ya kupatia ridhiki hawana budi.
Kwa sasa waweza sema hadji manara ni vile amependa kuishi vile anachofanya, kwa hali ya...
MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na...
Kwnn nasema hvyo na kama ukibisha uwe na sabbu, diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuimba style aina ya moja kweny mziki mfno bolingo, baikoko, hip-hop, normal bongo fleva, amapiano kwa...
Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma,
angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana...
Kwa wale wapenzi wa reggae, hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu. Wakati anauawa alipigwa risasi tu wala hawakuchukua chochote. Walitumwa? Kuna miaka niliwahi sikia kwamba yeye ndio chanzo...
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Hili ndio Gauni alilovaa Mchumba wa Manara lenye thamani ya Million 400.
Watu wa karibu na Zay wanasema material...
Huyu nguli wa michezo wa pale E-Fm Radio kila ifikapo weekend lazima awe London Uingereza. Kama Celeb tuna haki ya kudadavua hiyo mitoko!!
warumi una mpya gani hapa?
Asee salam
Jana kuna filamu (bongo Movie) nilikua naangalia sasa kuna scene moja ya gerezani
Asee kilichonishangaza nikuona et mfungwa kwanza kavaa hereni pia kaachia ndevu na nywele . Sasa...