Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa...
2 Reactions
18 Replies
962 Views
Diamond platinumz ameibuka na kupinga wimbo wake na Zuchu kufungiwa akihoji ni sababu zipi hasa zilizopelekea wimbo wake kufungiwa.
12 Reactions
205 Replies
15K Views
KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO. Leo naishika peni,nilo nayo niyatoe. Msidhani mi mgeni,maoni mnikosoe. Ni mwenyeji kwenye fani,acheni yangu nitoe, Sauti yake Dahuu,inanipa burudani. Bi Husna...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar. Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada. Bado hakuna...
36 Reactions
794 Replies
144K Views
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho...
0 Reactions
4 Replies
980 Views
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania. Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi...
28 Reactions
229 Replies
35K Views
Kinda wa Manchester united Daniel Gore, kazaliwa 2004 ila anapeleka moto balaa. Garnacho ndio anaingia 20 years! Je, Tanganyika wachezaji wanwaka wazi wanawake zao?[siyo wake]. Je, utamaduni wa...
0 Reactions
3 Replies
589 Views
Msanii wa vichekesho nchini Lucas Mhavile almaarufu Joti, ameonyesha kufurahia kusua sua kwa Maandamano ya CHADEMA ambayo yanafanyika hii leo. Joti kupitia mtandao wa "X" ameonyesha kucheka na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Msanii kutoka Nigeria asake, alifunguka hivi karibuni kuhusu kitendo cha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz kuiga staili yake ya mtindo wa nywele pamoja na staili yake ya kuimba Baadhi ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao...
7 Reactions
81 Replies
6K Views
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka. Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa. Ilhali yeye...
13 Reactions
64 Replies
6K Views
Mchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata. Nini maoni yako?
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Mwanadada mrembo Poshy Queen ameandika maneno yanayoonekana ni kama kumkana aliewahi kuwa Mpenzi wake Dj Seven. Poshy amedai kuwa Seven alikuwa ni rafiki yake na hakuwahi kuwa Mpenzi wake kama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Rapa Curtis Jackson almaarufu 50 cent, ameonekana kupungua uzito kwenye picha alizopost mtandaoni hivi karibuni. Rapa 50 cent ni moja wa marapa wenye miili mikubwa ya mazoezi, kupungua kwake...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
8 Reactions
94 Replies
12K Views
Diamond Platnumz akifa mziki wa Tanzania unakufa. -Harmonize atakosa mtu wa kumpa kiki za kuvumisha ngoma zake -Alikiba atakosa mtu wa kushindana naye -Rayvanny atakosa mtu wa ku mboost kwenye...
17 Reactions
434 Replies
15K Views
Eti kila mmoja kanunua gari la mil 200 yale yaliyowashinda wabunge, hawa jamaa zimo kweli? Hawajawa bado masuper star ndo hivo je wakiwa? Ulimbukeni bwana ni kitu kibaya sana, wao wanaona...
0 Reactions
129 Replies
17K Views
Bondia Mike Tyson ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni ameahidi kiasi cha shilingi Bilioni 23 za Kitanzania kwa mwanaume yeyote atakayejitokeza kwa ajili ya kumuoa binti yake mwenye uzito wa...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Aunt Ezekiel amejibu swali la ni lini ataolewa na Baba mtoto wake ambae pia ni msanii wa Bongo Fleva "Kusah". ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from RickMedia
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…