1. Petit man wakuache
Huyu jamaa amefahamika kupitia Wema Sepetu, jina lake limevuma na kutajwa tajwa sana baada ya kuwa karibu na madame. Sio muigizaji wala mwanamuziki.
2. Romy Jones
Huyu jamaa...
Hizi ni Nyimbo za mastaa wakubwa East Africa alizowai kuandika Tommy Flavour msaani mpya wa Kings Music
One Day- Nandy
Nifanane- Wahu
Katu katu - Maua Sama
Main Chick - Maua Sama
Your Love -...
#MadiniNaPatron
1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM Jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki wa...
Baba Levo
Baada ya mahusiano ya Baba Levo na mzazi mwenziye anayejulikana kama Mama Ruby au Salma kuvunjika, inasemekana kwamba mkewe huyo Salma alilaghaiwa na vibopa ili amwache Baba levo...
Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba marehemu aliukuwa anaugua...
Jina lake halisi ni Salim Njwete Salum, jina maarufu ni 'SCORPION' alijulikana zaidi kutokana na tukio la kumtoboa mtu macho. Alikamatwa na akahukumiwa kifungo. Sasa ametoka yupo mtaani na mengi...
Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!?
Yaani watu wanamjadili tu Mwijaku wakati Dizasta vina ameachia albamu!!!?
Okay, basi ngoja niingilie kati, maana...
Mashabiki wa Mwanamuziki Madonna (65) wa Jijini New York wamemshtaki mwimbaji huyo kwa 'Udanganyifu' na 'Mazoea Mabaya' baada ya kuchelewa kuanza tamasha lake, la Disemba 13, 2023 wakidai kuwa...
Huyu jamaa imekuwa kawaida kwake sasa kila akiona ngoma ipo trend basi ataidandia na kuforce remix.
Sasa hivi majuzi baada ya kudandia wimbo wa Dayoo unaitwa Huu mwaka, raia wakamkalia kooni...
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye...
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021
Wakati wa...
Wakati wa Majira ya Kiangazi mwaka 1991 huko nchini Marekani, Kampuni kongwe ya filamu ya Columbia Pictures iliyopo chini ya kampuni mama ya SONY ilikuwa imepata wazo la kubadilisha logo yake ya...
Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band.
Kwa sasa ametoka kupitia WCB.
Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na...
Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa...