Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Halooo..ticket onyesho la jide zimeisha...wambea mkafie getini clouds
4 Reactions
45 Replies
5K Views
  • Closed
RAFIKI WA MANGWEA M to The P NAYE AFARIKI DUNIA -Pigo tena kwa muziki wa Bongo Fleva baada ya ripoti kusema, M To The P aliyekuwa na Mangwea jijini Johannesburg naye amefariki dunia. Taarifa...
0 Reactions
73 Replies
11K Views
BAADA ya kutumia dawa za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya mwilini mwake, aliyekuwa Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Aisha Mbegu ‘Madinda’ amegeuka kuwa muhamasishaji kwa ‘mateja’ ambao bado...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
KUTOKA WAVUTI.COM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tune sasa hivi umsikie Lady Jaydee akitoa msimamo wake juu ya msiba wa mwanamziki mwenzake Mangwair. Hii inakuja baada ya Mwana FA kuahirisha shoo yake ya the Finest iliyokuwa ifanyike ijumaa...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
DIAMOND amefunguka kuwa yuko mbioni kushiriki move ambayo anatakiwa kucheza na Girlfrend wake wa zamani WEMA. anasema alipata tabu kidogo kukubaliana na wazo hilo ila baadae alikubali baada ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Acha ubishoo wa kujitangaza kwa bibi wa Dubai. Huwezi kujiita designer na fundi wa kushona wakati huna duka wala online shop nakushauri utulize ball na uwaone walio serious kama alika peter...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
An injected mixture of cocaine and heroin, known as “speedball” is a particularly dangerous combination, as the converse effects of the drugs actually complement each other, but may also...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nafasi nachukua,shairi kukuandikia, Albert Mangwea, uliyetangulia, Asili ya Songea,mzaliwa wa Mbeya, Mangwea tangulia! Nilianza kukusikiliza,ili kukuelewa, Mengi ukanifunza,hadi kunogewa, Kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku itapofika Watanzania watakapoanza kununua filam za kibongo kwa sababu ya Producer flani ka-produce hiyo movie au Director flani ka-Direct hiyo Movie ndo Film zetu zitaweza kuchukua hata tuzo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nIMEPATA TETESI KUWA MATONYA MEKAMATWA NA MADAWA YA KULVYA NCHINI cHINA, NI KWELI?
0 Reactions
84 Replies
16K Views
Hv ngwair na daz baba nani mkongwe kwenye game na album ya kwanza ya ngwair imetoka mwaka gani na album ya daz baba imetoka mwaka gani na nyimbo zao za kwanza zimetoka mwaka gani ??kama geto langu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
hivi yuko wapi ibra da hustla wa nako 2 nako soldiers?, kakimya sana na mwenzake lord eyes
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Huu ndio muonekano mpya wa wema sepetu huku akisema eti amefanana na Mdoli
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Jay dee atafanya show yake tarehe 31 ndani ya kaukumbi kadogo ka nyumbani lounge,mimi nasema hivi kama kweli yeye ni anaconda kwa nini asingeenda diamond jubilee ama pta ama mlimani city? Ili...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wana jamii forum naombeni msaada,nahitaj kununua kin'gamuz sasa sijajua kipi ni kizur zaidi(exluding dstv),yaan kati ya zuku,easy tv,easy tv,star times,digitek,continental nk,niliuza easy tv...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST..... Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........ 50k..are you out...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani kuuliza si dhambi...hivi ndoa ya kajala ndo imeshavunjika.??? Maana sielewi helewi...maana anatoka na kakijana kanaitwa petit menwakuacha(nick name)...kanafuga dread hivi....mwenye kujuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ladies and gentle men...you readyy
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Nikiwa kama mdau mkubwa wa sekta ya habari, kwa kipindi kirefu nimekosa ladha ya kipekee ya mtangazaji mahiri na ripota mahiri TanzaniaBen Kiko. Kwa anayejua alipo anifahamishe tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…