Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Kulikuwa na binti mmoja aliyeitwa Amani. Alizaliwa katika familia ya kawaida kijijini Manyala, familia ambayo licha ya juhudi zao, hawakuwahi kuwa na uhakika wa mlo wa siku. Baba yake alikuwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naam wale wapenzi wa series ya from Leo season 3 imeshatoka online link kama uliipenda msimu wa kwanza na wapili huu ni msimu wa tatu je wale viumbe wataendelee kisumbua je Boyd Steven atafanikiwa...
8 Reactions
396 Replies
11K Views
UKWELI HIPHOP IMEKUFA? Najiuliza NA kujipa majibu mepesi japo swali ni gumu sana! MONI CENTROZONE Anasema "HIPHOP is DEAD" lakini sijaona vijana wa new school kama wanamjibu au tuseme wako...
2 Reactions
7 Replies
368 Views
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock...
26 Reactions
63 Replies
4K Views
jamani naombeni mnijuze man anayemla uroda msanii vanesa mdee mana ni mzuri sanaaa
1 Reactions
9 Replies
5K Views
WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA...
1 Reactions
3 Replies
228 Views
Kwa wale wapenzi wa series za Snipping kati ya Jackal ambaye anapatikana kwenye series inaitwa The Day of the Jackal 2024 na Bob Lee Swagger aliyecheza series inaitwa Shooter 2016s. Je wewe unaona...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA. Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na...
10 Reactions
9 Replies
958 Views
Ambush In The Night"....Ishapita miaka 45 toka wimbo huu upigwe na kurekodiwa,,,lakini maneno haya bado yanaishi,,,tena kwa hili wimbi la upepo wa kisiasa kwa sasa,,,utamalizia mwenyewe...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Kwa wale wapenzi wa muvi za watu weusi (black people's ) zinazoelezea crime, drama, comedy,romance,thriller,biography, history,action, music, na life nimewaletea orodha ya muvi bora za mda wote...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi, wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Tuwekee wimbo wowote kutoka kwenye playlist yako kama members wengine wakiupenda wa-dowload hapo. Mimi naanza
0 Reactions
2 Replies
187 Views
AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
4 Reactions
0 Replies
511 Views
Inawezakana huyu jamaa hakujua kipaji chake mapema aisee. Ana vituko mpaka mbasi. Mara moja moja anatakiwa atokee kwenye stage ya Cheka tu kama badhi ya watu maarufu wanavyofanya Kenya kwenye...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa...
1 Reactions
1 Replies
336 Views
Kwangu best sad album ina nyimbo 19 imeimbwa na msanii The Weeknd kutoka Canada. Hii album ni moja ya album bora kabisa kuwahi kuisikiliza ilitoka October 2019 now ni 2021 still ina burudisha...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi WhatsApp: +255765824715 Hii ni Sehemu ya 01 SURA YA KWANZA Zimepita takribani dakika 15 tangu awasili ndani ya ofisi yake...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu! Kama tunavyojua kuwa tupo mwishoni kukamilisha hesabu za kumaliza mwaka 2024, Kutokana na hilo naomba kufahamishwa maeneo ya starehe hasa club za usiku ambazo zimesheheni aina...
2 Reactions
13 Replies
570 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…