From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content
Introduction
What happens when a football legend sits down with the king of...
Mkuu wa Mkoa alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huu. Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tumefurahia sana uzinduzi huu ila ninaomba tuletewe pia nyama pori katika festival hii ya nyama choma.
===...
Ladies and gentlemen, its me again. The creater of stories like “How I met my wife” na “Cheaters: the series”.
Nakuleteeni Goodness of fit. A story of love, blackmail, betrayal and politics...
SURA YA KWANZA
ASUBUHI YA HEKA HEKA
Utangulizi.
Richard Dawson, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisikanda maalum ya Dar es salaam, miaka mitano tu tangu ajiungena jeshi hilo, lenye jukumu la...
Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii...
Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake"
Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa...
[emoji725]CHOMBEZO: NILIPOFUNGWA GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
SEHEMU YA 01
"Na kesi imehairishwa mpaka tarehe ishirini na...
Mkasa : MKUKI KWA NGURUWE
Mwandishi: MSUYA M MSUYA (EMUTHREE)
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Ni kisa na mkasa, chenye mafunzo ndani yake, kinachotokana na ushauri wa kirafiki kati...
Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili
Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii...
Huyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari.
Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu.
Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba...
https://www.youtube.com/watch?v=TD2UdkY-nYI
Planet Rizq - Official Movie Trailer
In the distant future, humanity's history is forever changed when several colossal pyramid-shaped ships arrive...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA,
Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono.
Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha...
NAWAKILISHA - PROFESSOR JAY ( VERSE) BY PROFESOR JAY
Swadata..!! Toka utotoni sauti inawika/ nami napiga goti kwa watu nakubarika/
Najenga imani kwa mashabiki wengi ma dingi/ vinapo chekechea na...
Hawa watu walitingisha sana enzi zao.
Kati ya hawa mastar waliochuana sana enzi zao, wewe unamkubali nani zaidi weka vigezo
1. Number of awards Won, eg Oscra, BET, Grammy Etc
2. Ngoma zilizoshika...
Wana jamvi,mimi ni mdau mkubwa wa mziki wa mchiriku/mnanda. Mziki ambao ulitawala na kujizolea umaarufu mkubwa kwenye miaka ya 90 hadi 2000,binafsi nimekulia kwenye jamii yenye kuhusudu mziki huo...
Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies ..
Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch...