HAKUNA NOMA - PROFESSOR JAY.
"SIMPLE X"
" ni Extra extra ! Extra Vakaza hakuna noma !/ kazi ndio kwanza inaaza tega sikio upate soma la shahada ya kwanza/ Daima sintanyamaza kuongea...
Mwanamuziki Tyla ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu usiku mmoja katika tuzo za MTV European Music Awards (EMAs) za mwaka 2024 zilizofanyia usiku wa kuamkia...
Kuna wanangu nimewalusha umu one love
Sisi n ndugu ama vip wadau wangu,ambao sijawataja mtanisamee Bure mana sija yakalili majina yenu vyema ila tupo pamoja🙏🏽
Msanii wa Afrika Kusini, Tyla, ameibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best African Act’ katika hafla ya MTV Europe Music Awards (EMA) 2024. Katika kipengele hiki, Tyla alishindana na wasanii wengine maarufu...
Wakuu habari za muda huu, Poleni na majukumu. Msaada tafadhali.
Nahitaji Lyrics ya ngoma ya Godzilla ft G.Nako_KILA WAKATI.
Nimetafuta sana,saana,sana. Mwenye nayo plz,Huko youtube nimetafuta...
"Warning, this is the chief of police speaking
Do not steal police hate competition
I repeat do not steal police hate competition.
Where we gonna run, where we gonna hide?
You've got the right to...
Simulizi: NINI MAANA YA MAPENZI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Alikuwa binti mpole ila muongeaji sana, aliyelelewa katika mazingira ya dini, nyumba...
RIWAYA: KASRI YA MWINYI FUAD
MWANDISHI: ADAM SHAFI ADAM
IMELETWA KWENU NA: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KIJAKAZI alizaliwa kutokana na ukoo wa kitumwa. Baba yake na mama yake walikuwa ni miongoni mwa...
Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange...
Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
Hello wakuu.
Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava.
Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na...
PENZI LA ANKO-1
"We Doreen," mama aliniita kwa sauti ya ukali.
Sikutegemea kumkuta yuko macho muda huo japokuwa alikuwa chumbani kwake. Ilikuwa saa nne usiku.
Kwa kawaida mama ikishafika saa...
MESEJI MOJA...........(01)
Imeandikwa Na SALUM KALASE.
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA KWANZA.
Kwa majina naitwa James Daudi ni kijana wa miaka ishirini na tano. Katika umri wangu huu...
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za...
Simulizi: Mpenzi wangu Amina.(01)
Mwandishi: Salum Kalase
Sehemu ya kwanza.
Maisha ni kuchagua na mimi nilichagua kumpenda Amina katika maisha yangu yote bila kujali ni nini kitakachotokea...
Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao.
Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga...