RIWAYA; DOA LA VIPEPEO
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660.
-----1-----
Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa limeanza kuiacha Mashariki yake...
RIWAYA; MTUMWA
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
RIWAYA ZILIZOTANGULIA..
• MPANGO WA CONGO
• KIKOSI CHA PILI
• URITHI WA GAIDI
• DAKIKA ZA MWISHO
• OPERESHENI KuKu
• OPERESHENI JICHO...
Mbwana Samatta aliyewahi kuichezea Simba aweka historia ambayo haijawekwa Afrika Mashariki na Kati. Aifunga Liverpool.
Liverpool ambayo kwa sasa ndio Club Bora Ulaya na Duniani. Yaani hata Club...
Jamani kuna zile nyimbo za kukaribisha sikukuu za Christimas na Mwaka mpya (Marry christimas and New year) yaani nazipenda sana na ukicheck mda wake ndo huu unaingia, mwaka upo ukingoni..
So...
Siku hizi mziki vijana kama hawafaidi kabisa. Tofauti na zamani miaka ya 2000's tunaenda disco, mnaburudika mwanzo, mwisho. Mnacheza kweli unarudi home umeburudika vya kutosha. Naangalia fiesta...
Hii Chelsea itakuja kuuwa watu jamani haya kipaji kingne hicho huyu dogo anaitwa Reece James sio yule James wa kule unyumbuni asiejuwa mpira huyu ni James mwenye kipaj chake ambae kazaliwa kucheza...
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.
Nasibu Abdul ‘Diamond...
Habari wanaJF leo August 13 ni siku ya kuzaliwa wa mwanamuziki Fid Q basi jamaa ameamua kuachia wimbo mpya unaoitwa "Bongo Hip Hop" ukipata nafasi itafute jamaa amechana kwa kiwango ba Majani...
Mimi ni mshabiki wake lakini jamaa haeleweki kuwa kaacha mziki au bado anaimba. Inshort ni mvivu na hajitumi kazi kulialia tu kuwa anafanyiwa fitina na ngoma zenyewe anazotoa hazionekani yani yupo...
Za chini chini ya carpet ni kwamba ma presenter wafuatao soon wanakuwa ndani ya Wasafi FM na Wasafi TV
1. Meena Ally
2. Dina Marious
3. Dullah Ambua
4. Perfect Crispin
5. Barbara Hassani
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.
Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki...
Wakuu kwa wale wapenzi wa aina hii ya muziki msaada tafadhali mwenye access ya hii nyimbo, ni naikubali sana kila mahali ninapojaribu kuitafuta ni kama vile wameifuta au kuiblock..
Msaada...
NI SHIIDA!
"Ha! Ha! Ha! Huyo binti yako anaitwa nani?"
"Ah! Achana naye, naona hasira hata kulitaja jina lake," alisema mama Juliana huku akionesha hasira za waziwazi kwa binti yake huyo.
Muda...
Alikiba kiukweli lazima awe na stress za hali ya juu maana ameshtuka toka usingizini amekuta he is not a King anymore yaani kijana Mondi atamuua kwa stress aisee. Ingekuwa kimarekani hawa jamaa...
Binafsi si mpenzi sana wa vipindi vya michezo ya kuigiza vya Tanzania. Nlijaribu miaka flan nikaona vimepoteza uelekeo na asilimia 85 hawajui kuigiza.
Wanafanya mambo ya kitoto sana, michezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.