Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mara nyingi na kwa tabia za binadamu tulio wengi, kila mambo yanapotuendea vema tunaongeza au kubadili namna zetu za kuishi. Si kosa wala vibaya. Lakini huwa nahofia sana ikitokea kushuka kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nilienda kufata biashara nchini korea kusini maana mizigo yangu huwa nachukuliaga japani sasa nikaona niende nchini korea kusini maana watu wanapasifu sana sasa NILIVYO tinga tu uwanja wa ndege...
6 Reactions
75 Replies
13K Views
Ford vs Ferrari inaonyesha ni bonge la movie ukiicheki trela lake...utamu wa hii kuichekia sinema...aisee msiache kutuletea hii.
1 Reactions
0 Replies
473 Views
Assalam aleykum, Nimeona thread moja ambayo imetoa utani nikashawishika kuandika hii in a serious manner kidogo. Kabla ya kuendelea nianze kwa kutoa ONYO: Haya ni mawazo yangu binafsi kwa kadri...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Mwanafalsamweusi Tigo Fiesta kwa sasa linaendelea kuwa ndo tamasha bora na lenye mvuto zaidi nchini Tanzania baada ya Tamasha la Wasafi Festival kukosa kitu cha ziada cha kulitofautisha na Na...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
JST BRIEFLY: DID U KNOW THAT? 1.werrason really names are NOEL NGIAMA MAKANDA? 2He was born on 25th Dec 1965,in moliembo,small village in western DRC,kikwit,kwilu District? 3.He is the son of...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendw wakuu humu ndani naiman wote mu wazima mkiendelea na majukum ya kila siku. Ombi langu naomba wnaoweza kunipatia au kunionyesha sites ninazoweza kupata vitabu hivyo iwe lugha ya kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kuuliza nitapata wapi game pad za pc. Nipo Arusha
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Shalom wana wa Mungu Jumapili ya leo nimeamua niitumie kuyatoa ya moyoni juu ya muziki wa injili hapa Tanzania. Ki ukweli hawa waimbaji wa siku hizi wa injili wamakera sana na nachelea kusema...
7 Reactions
79 Replies
8K Views
Msanii, mwanamapinduzi, mpinga ubaguzi na mtetezi wa haki za watu ambao daima wamekuwa wakionekana wanyonge Lucky Philip Dube, ambaye alifariki dunia Alhamisi ya Oktoba 18, mwaka 2007, baada ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimeamini kuwa ili uchukiwe wewe fanya kazi kwa bidii kisha ufanikiwe na naweza kusema kuwa watanzania tuna wivu sana kwa waliofanikiwa hasa kama ametokea familia masikini kisha kwa juhudi zake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
my best Actor Jonny Depp
5 Reactions
38 Replies
15K Views
Nimejaribu kuangalia baadhi ya movies za wenzetu nimegundua kuna utofauti mkubwa wa movies zinazozalishwa na makampuni tofauti ya Marekani Mimi binafsi napenda Muvi iliyotengenezwa na The...
1 Reactions
147 Replies
19K Views
Salaam wakuu, Naanzisha uzi huu maalumu kwaajili ya kurate movies ambazo tumeshaziwatch, ni kama our own version ya rotten tomatoes au IMDb. Nikianza na avengers endgame, binafsi nairate 6.5/10...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Muziki wa zamani ulikuwa na burudani ya aina yake. Mbali ya utunzi mahiri na uimbaji hodari, nyimbo nyingi zilitungwa kuelezea visa na mikasa iliyowahi kuwakuta wasanii husika. Kupitia uzi huu...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
VERSE: Old pirates, yes, they rob I, Sold I to the merchant ships, Minutes after they took I, From the bottomless pit, But my hand was made strong, By the hand of the Almighty. We forward in this...
16 Reactions
130 Replies
10K Views
Wakuu habari za morning. Niwashukuru sana kwa kupeana burudani ktk hili jukwaa letu pendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni kwa atakaye jaliwa anipe movie ya MONKEY KINGDOM Iliyotafsiriwa...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Kubali Matokeo! Ilikuwa mapema sana asubuhi, mitaa ikiwa safi na isiyo na watu, nilikuwa nikitembea kwenda stesheni. Wakati nikilinganisha muda unaosemwa na saa ya kwenye Mnara wa Saa na ile...
2 Reactions
2 Replies
832 Views
Back
Top Bottom