Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
ni nyimbo nzuri kwakwel anajaribu kuonyesha ni jinsi gani anamapenzi ya dhati kwa mpenzi wake
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Ee bwana najua kila kabila wana nyimbo zao ila za hawa watu zimekuwa nyingi mno! Kuna jamaa yangu huwa anajishughulisha na kazi za u-DJ, aliwahi kuniambia akialikwa kutumbuiza kwenye sherehe zao...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : LEICESTER PETRON CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Kawaida kwenye maisha tunakumbushwa kupenda kujituma kwa bidii zetu zote pale tufanyapo kazi zetu...
1 Reactions
12 Replies
62K Views
Simulizi za Majonzi ▼ NILIMUUA NIMPENDAYE (I KILLED MY BELOVED ONE)- 1 Jina langu naitwa Eunice, mtoto wa tatu kati ya watano wa familia ya baba yetu, mzee Ansbelt. Nilizaliwa miaka 26 iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya avengers zote ipi ilikuwa kali? Ni avenger yupo ulimkubali sana kwa upande wako?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi..Movies Watchers Kuna muda unaangalia muvi hadi unajuta kwanini umeangalia muvi hiyo.. Hebu taja muvi mbaya uliuowahi kuiona. Mimi zangu. Captain Marvel. Jao ni muvi iliyoingiza kiasi cha...
3 Reactions
212 Replies
19K Views
Tuambiane! Whats your best love song? Like listening to it. Whether alone or with your love! Maana nyimbo zinahusika sana! Kwangu mimi, za kizungu 1. My endless love ~Diana Ross & Lionel Richie...
2 Reactions
137 Replies
10K Views
Bado sijajua kama vile vilikuwa ni vionjo na madoido ya ule mwimbo au ni kitu kingine tofauti. Aliyeshuhudia kwa umakini na uhakika atujuze tafadhali!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Angalia hapa lyrics za nyimbo kali za kusisimua zenye ujumbe mzito zinazo trend duniani za kiswahili na kingereza
2 Reactions
2 Replies
8K Views
Hekaya Fupi "Wajemeni," alisema panya, "dunia inazidi kuwa ndogo kila siku. Awali ilikuwa pana mno kiasi kwamba niliweza kukimbia huku na kule na nilifurahia kuona kuta zikiibuka kulia kwangu na...
3 Reactions
3 Replies
882 Views
Hii habari nimeanza kuiona toka jana asubuhi nadhani imeanza kua trend toka juzi.. mm nimefuatilia hili saga ila sielewi..Naona kama three company ambazo ni Sony,Marvel studios na Disney...
3 Reactions
109 Replies
12K Views
Wakuu izi ni baadhi ya movie ambazo binafsi nimezicheki ni Kali na nzuri zipitie na wewe utojutia ------+++++----- JIG SAW 1-7 katika muvi za kutisha za mauaji izi usipime kama una moyo mwepesi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
https://www.premierbet.co.tz/cash-drop/?btag=654925_A97649E1C18647B7BACBE19959575C5A
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Napenda sana hii series ya Strike Back hapa nina chache,mwenye nazo zote hadi episode ya mwisho anitumie wakuu Asanteni
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa hip hop unalipi la kuongea kuhusu mwisho wa mwezi?? Naanza! Mwisho wa mwezi, ndo baba ukesha bar//kurudi nyumbani hawezi,hadi mama kamkataa// mwisho wa mwezi niliemkopa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp mdau? Nakudondoshea uzi huu hapa kwa ajili ya film mpya za mwaka huu wa 2017. Kwa hivyo kama wewe ni mpenzi wa film basi uwe unapitia hapa kila mwezi kuchukua orodha ya film mpya kabisa...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za jioni ndugu wapendwa! Naomba mwenye link ninayoweza kudownload tamthilia ya WILD FLOWERS ya kiphilipino!
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Back
Top Bottom