Hii ni listi yangu ya the best musicians vocalists of all the time
Male
1. Wanya Morris (Boys 2 Men)
2. Joe Thomas
3. R. Kelly
Female
1. Mariah Carey
2. Whitney Houston
3. Celine Dion...
Movie ni kazi za sanaa ambazo kwa namna moja ama nyingine zina mchango mkubwa sana katika kubadilisha maisha ya watu. Movie zina mafunzo makubwa sana kwetu. Lakini mbali na funzo tunalolipata...
Habari wana JF,
Leo sijui imekuwaje nimekumbuka sana vitu ambavyo viliniliwaza miaka ya 80 -90+ hivi;
Kabla ya ujio wa Tido muhando na kuibadili RTD, TVT na kuwa TBC taifa,FM na TBC kulikuwa na...
SEHEMU YA KWANZA
“KAMA kweli kuna malipo ya ubaya na uovu basi mimi nililipwa kwa yale ya uovu. Lakini namshukuru sana Mungu kwani alijua dhamira yangu ikafika mahali akakataa hivyo akaamua...
KIFO SIKU YA HARUSI
MTUNZI JOSHUA LIBERATH
0713111547 WHATSAPP
Ilikua siku ya jumatatu asubuhi Jesca aliamka akiwa mwenye huzuni sana ,hakujua ni kwa sababu yupo katika hali ile ,taratibu jesca...
Habari zahumu ndani. moja kwa moja kwenye point. Mimi nimwandishi/mtunzi wa nyimbo najambo hili nalipenda sana, huwa naandika nyimbo kwa muda wangu waziada.
Ningelipenda pata mtu/ watu watakao...
Habari za usiku wakubwa
Naomba tujuzane kuhusu Azam TV zile channel kibao ambazo zinapatikana pale, je ni channel gani unaipendelea zaidi ya zote
Mimi naipenda sana travelxpHD haijawahi...
Allow me to introduce to you MBIO ngoma ambayo niliandika miaka 10 iliyopita nilipokwenda Oman [emoji1190] kwa mara ya kwanza, miaka 10 baadae niliporudi Oman kwa ajili ya concert yangu kubwa at...
Yope remix una siku moja lakini kutokana na uwepo wa simba inaelekea kuipita view na kuiuwa kifo cha mende yope og.
Kila mtaa,kila bar,kila kona ngoma ni hiii.
Wazee wakupiga mitungi na kuyarudi...
UPEPO WA USIKU-1
BONIFACE BIRAGE
Upepo upima mti nguvu na kuuona uhodari wake katika kujishikilia udongoni kwa kuimrisha mizizi iliyojikita.Ndiyo falsafa ya maisha na mikumbo yake hujikita katika...
Nimefika jijini Tanga, ni siku nne sasa zimeshapita.Nimepambana na shughuli zilizonileta, na wiki endi hii nataka nikajichanganye na popo wenzangu kwenye Night clubs.
Wenyeji wa Tanga tafadhali...
Habari members, kwenye pitapita mtandaoni nimekupta na website ya kusoma hadithi na kuingiza pesa kwa shirikisha watu kujiunga na kupata sh 1200 kwa kila anayejiunga na kulipia sh 3000 kwa siku...
Muziki wa dansi hakika Unarejea mdogo mdogo kwenye Hadhi yake kama ilivyokuwa zamani,pamoja na kupotezwa na Wadau ili muziki wa kizazi kipya ushike chati lakini ni faraja kubwa kwa Sisi wafia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.