Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

i naona mbali) Kwa darubini kali (kwa darubini kali) Afande anasema wote (wote kimya) Ntakayo nena hapa yatamgusa mwenye hekima (Hapo!) hapo ulipo Kama waipenda pepo kwanini uogope kifo? (Eehee)...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes. Startimes...
14 Reactions
24 Replies
782 Views
Assassin anayefuata principle za kisamurai.
3 Reactions
6 Replies
283 Views
Nibebe - Nyota Ndogo “Nibebe” from the album “Mpenzi” Nyota Ndogo featuring Nonini Nonini Ngoma kali hufanya niwakumbushe wakenya Vile Swahili ni kitamu Au sio Nyota aa, Nyota aa Ndogo oo, Ndogo...
3 Reactions
9 Replies
851 Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
7 Reactions
328 Replies
7K Views
Tanta lala la Ooh la la la la la Mmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale...
2 Reactions
5 Replies
740 Views
Kama ujafika korea basi niwajuze tu? Japo wanakila kitu na wapo mbali sana ila swala la migahawa ya vyakura na huduma za chukura korea wapo vizuri sana. Biashara ya chakura korea hipo tofauti na...
7 Reactions
10 Replies
520 Views
Wakuu na wadau wa Marvel. Marvel Studio wametoa teaser ya upcoming superhero movie ya Captain America iitwayo Brave World. Usichanganye na TV Series yao ya Captain America & Winter Soldier, hii...
2 Reactions
0 Replies
218 Views
Imagine huu mzigo utakuaje? Under James Cameron. Humu Leonardo Di Caprio kafanya kitu hatari Nduki_ Young lunya 🏌️🏌️
9 Reactions
94 Replies
2K Views
Wadau, Natafuta huu wimbo alikiba alipiga live. Nahisi kwenye moja wapo ya show za clouds media. Kuna live kadhaa za macmuga lakini kwangu mimi hazikuendana sana na hii ninayotafuta. Thanks.
1 Reactions
2 Replies
315 Views
Natafuta cover ya wimbo wa Hapana wa msanii Marioo ulioimbwa na mdada fulani hivi ukatumika katika tamthilia ya Jua kali. Anaeweza kunisaidia namna ya kuupata tashukuru.
1 Reactions
0 Replies
435 Views
Pendekeza nyimbo yeyote ya Lyrics nami nitakukumia 1.NIITE SONGA LYRICS [Intro] Yeaah… Duke Tachez.. yeeah [Ubeti wa Kwanza] Yeah, kwa uzima nafungua kinywa nachomoa hii habari Naisoma kwa kina...
2 Reactions
5 Replies
9K Views
Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla. Wasanii wa muziki wa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu kwema Naomba mtu mwenye file ilo hapo juu anirushie Natanguliza shukrani
4 Reactions
2 Replies
219 Views
Wapenzi wa sweet reggae tafuteni nyimbo za huyu mama Sauti na melody kali sanaaa. Kifupi huyu ni healer kupitia nyimbo zake.
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za haoa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home, Kuna hiI Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda...
0 Reactions
3 Replies
377 Views
Utangulizi Binti aliyepewa mimba na Nabii ni story ya kweli kabisa, mhanga kaniomba nisambaze ili mabinti wengine wajifunze, karibuni nyote. Anaanza kwa kusimulia. PART 1 Nimelelewa kwenye...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Nguvu ya Muziki Kila moyo una wimbo. Pahali ambapo maneno yanashindwa, muziki huongea. Muziki huzungumza kwa hisia. Muziki huleta uwiano kati ya roho, nafsi na mwili. Muziki ni mwanga wa...
4 Reactions
2 Replies
279 Views
Popote ulipo ujue nakupenda https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=oGtBuz_f-cenPpx7 https://youtu.be/3JWTaaS7LdU?si=qg_mvYEECSurtoDm
15 Reactions
235 Replies
5K Views
HII NI SIMLIZI YA KISAYANSI NA KITEKNOLOJIA. MTUNZI NI YULEYULE TARIQ HAJJ. HAYA NI MAONO YA MAISHA YAJAYO. RIWAYA NYINGINE ZILIZO TANGULIZIA NI 1. CODE X 2.CODE. X 2 MCHEZO WA KIFO. 3.COD X 3...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…