Series inahusu mji mdogo ambao ukijichanganya tu kuingia unashindwa kutoka yaani unakua umekwama na huwezi kuondoka kwa namna yoyote.
Na balaa zaidi ni usiku kuna viumbr wanakuja, haitakiwi...
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)...
Nyimbo ya kwa ni ya
DEO MWANAMBILIMBI INAITWA MKE NI NDUGU AU RAFIKI
nyimbo ya pili ,
HII NYIMBO NI YA BUSHOKE INAIMBWA HIVI WATU WENGI WALISEMA HUYU MSICHANA NI MTU ANAEMILIKIWA NA MTU MWENYE...
Wahenga wenzangu,
Nipo nasikiliza hizi ngoma mbili 'Kama Unataka Dem' ya JayMo na 'Mabinti' ya Mwanafalsafa. Hizi ngoma kwa pamoja zilisumbua sana miaka ya 2001/2002 kwenye charts mbalimbali za...
Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja.
Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba...
Wakuu,
Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi.
Sasa siku kadhaa...
Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba...
Gere unanionea mie nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambu kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia.
Naomba mwenye link ya huu wimbo ama anae mfahamu msanii...
Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA)
Au redio Tanzania daresalaam (RTD)
Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko.
Mara...
Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana.
Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila...
Wadau mimi ni mpenzi wa mziki na kabla mambo yangu ya kiuchumi hayajayumba nilikuwa namiliki HK ONYX STUDIO 7 bahati mbaya ilikuja kuungua. Sasa kutokana na uchumi wangu kuwa bahati nasibu...
Amrish Puri, Mwamba Alisumbua Sana Kwenye Filamu Za Kihindi Na Sidhani Kama Kuna Muigizaji Atakuja Kuigiza Vizuri Nafasi Ya Adui Kama Huyu Mzee.
Filamu Gani Unaikubali Ambayo Aliigiza Amrish Puri?
[Verse 1 – Professor Jay]
Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini
Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi
Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika
Na kwa wote mliopo juu na chini sauti...
Napenda sana kusoma vitabu, hali hii imenifanya nipende kuandika visa kadhaa ambavyo huwa ni vya kweli, Sina visa vya kutunga.simulizi zote zina ukweli kwa asilimia nyingi.lakini pia...
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana...