"Seven Keys of Creation" ni dhana inayopatikana mara nyingi katika mafundisho ya kimetafiziki, kiroho, au ya siri. Ingawa tafsiri zinaweza kutofautiana kulingana na mila au chanzo, funguo hizi kwa...
Umoja wa Walimu wasio na ajira nchini Tanzania (NETO), umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali, kuwasaidia Walimu hao kupata ajira na kuweka usimamizi...
Kama utahitaji kupinga hili basi wewe ni mbishi tu tangu kuzaliwa.
Ukabila nchi hii upo nje nje kabisa ni rahisi sana kukuta watu wa kabila moja wako zaidi 96% kuliko makabila mengine ikiwa tu...
swala la karma ni kwamba
Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau.
Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia...
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha...
Niipi siri ya kutumia Energy drinks na Paracetamol, Kwa lengo la ku boost nguvu za kiume.....??
↳Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana hili swala la vijana kutumia Energy drinks +...
Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe.
Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku...
𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗼 𝘀𝗮𝗮 𝗽𝗲𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱
Kama utaniambia ni saa gani naweza tumia kwa mwaka 2025 basi hii TWS earphones smartwatch 2.01 ni saa ya kijanja ambayo yenye kukufanya uonekane smart...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama...
Nimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa!
Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7!
Kwanini...
Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils.
Kumeza mate kwa maumivu na taabu,
Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF.
Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa...
Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora.
Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa...
Ndugu zangu wa JamiiForums, napenda kushiriki nanyi tukio la kushangaza lililotokea maishani mwangu, ambalo lilinionyesha wazi kuwa uchawi upo! Mpaka leo nikikumbuka usiku ule, mwili hunisisimka...
Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
Wana JF, Leo Tunaweka Mezani Ukweli Usiosemwa!
Muda mrefu tumeshuhudia nyumba yetu ikisimamiwa na mama mwenye kilemba chake. Yeye huja na tabasamu jepesi, lakini macho yake huangaza mbali, kana...
MFANYABIASHARA Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, amedai haogopi kunyongwa hadi kufa wala adhabu nyingine yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.