Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

ELIMU MUSOMA VIJIJINI: MIJADALA YENYE MAPENDEKEZO YA KUBORESHA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU Wataalamu: *Dr Zablon Kengera, UDSM *Dr George Kaangwa, UDSM *Mr Jeff Makongo...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara...
1 Reactions
4 Replies
107 Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi...
1 Reactions
2 Replies
368 Views
Naomba kutoa taarifa juu ya utapeli wa Mtandaoni unaondelea kupitia account ya facebook inayojiita "HONDA AFRICA LTD" na Chanel ya Whatsapp inayojiita "HONDA AFRICA MOTORS" Binafsi ninayeandika...
1 Reactions
6 Replies
301 Views
Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari nimeona nishee nanyi baadhi ya matukio ya kufanya kazi za kuajiriwa,iwe sekta Binafsi,mashirika au serikalini. Kuna taasisi mahala Fulani kulikuwa na mkubwa...
2 Reactions
2 Replies
162 Views
Mkoa wa Pwani umeteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zitakazozinduliwa Aprili 2, mwaka huu katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Pwani sherehe...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Habarini za uzima wana nchi Baada ya kuwatetea kuwapigia kelele sana hapa wananchi wa kipunguni walipwe Sasa serkl imeanza kulipa wananchxi wa kipunguni waondoke Sasa siku moja kabla ya malipo...
0 Reactions
3 Replies
155 Views
Kuna wakati nakaa naangalia habari zipi zina mvuto kwa kuangalia idadi ya comments na views. Nasikitika kuona kuwa threads za MAMA zinapata views na comments chache sana. Hii kisaikolojia inaitwaje?
2 Reactions
3 Replies
129 Views
Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni...
0 Reactions
2 Replies
187 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Ruvuma imewaachia kwa dhamana wachungaji wawili James Michael Komba na Beatus Aron Mwambuchi wa mchungaji kanisa la TAG lililipo Lizaboni Manispaa ya Songea...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Vijana, Endeleeni kuwasikiliza Kataa Ndoa Kuna mwenzenu sijui ni Moshi huko amepiga punyeto hadi kufariki. Huyu angekuwa kwenye ndoa asingekutana na dhoruba hii.
5 Reactions
54 Replies
1K Views
Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe
0 Reactions
10 Replies
128 Views
Imekuwa ni kawaida na mazoea makubwa sana sasa kwa madereva bajaji mkoa wa Mbeya kupakia abiria wawili mbele na wengine wakiwa wamening'inia na dereva kuendesha bajaji huku akiwa amechuchumaa tena...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za...
1 Reactions
10 Replies
111 Views
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani...
10 Reactions
55 Replies
832 Views
📌NIRC Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji...
0 Reactions
6 Replies
132 Views
Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la...
0 Reactions
10 Replies
193 Views
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo...
14 Reactions
158 Replies
5K Views
Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi...
1 Reactions
3 Replies
126 Views
Back
Top Bottom