Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo:
1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na...
Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga.
Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa...
LC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na...
Huyo si mwingine bali ni C.S. Lewis
C.S. Lewis, once a firm atheist, became one of the greatest Christian thinkers and writers of the 20th century. His journey from skepticism to faith was not...
Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume.
Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani.
Shukrani za dhati ziwaendee;
🌹 Wanaume wanaoweka...
Kwa watu timamu wa akili na mwili watakubaliana na mimi kuwa BLACK PEOPLE wa Afrika kusini inabidi waache mihemko na wawaache wazungu waishi na waiendeleze hiyo nchi.
Ukiangalia makazi mengi ya...
Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula
Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa...
Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview...
Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa...
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na...
Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya...
Jiji la mwanza na wilaya ya ilemela hasa maeneo ya kuanzia mabatini mpaka nyakato hatuna hduma ya maji toka jana siku ya Alhamis tarehe 27/2/2925 mpaka leo Ijumaa ya tarehe 28/2/2025.
Maji...
Waombaji wapya wa leseni za udereva hawawezi kupata leseni, mfumo una renew leseni tu zilizopo hai kwa sasa. Je wenye kuhitaji kuongeza madaraja, kuondoa maradaja na kuhuisha madaraja wafanyeje...
" Jana Niliona toleo lilotamalaki sana kwenye Vyombo vya habari kuwa Wazazi wasiwapeleke Watoto wao Kusomea Ualimu kutokana na Maslahi Kiduchu amabyo mwalimu Anapata au Analipwa.
Nikaenda mbali...
Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel
Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na...
Serikali unajua dhahiri kuwa na kiwanja cha kimataifa ndani ya hifadhi ya Serengeti ni makosa makubwa na madhara yake ni makubwa kuliko faida ila kwa wachache wanangalia faida za kifedha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.