Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

💼MHADHARA WA 7 Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu. Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia...
46 Reactions
313 Replies
8K Views
  • Closed
Anonymous
Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni. Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo. Usumbufu wa watumiaji wengine...
1 Reactions
0 Replies
65 Views
Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja...
24 Reactions
49 Replies
863 Views
Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani...
8 Reactions
60 Replies
947 Views
Kwamba katika Kitabu kitakatifu cha Dini ya Kiislamu cha QURAN Yesu Kristo katajwa sana tu kuliko Mtume Mohammad?
10 Reactions
33 Replies
889 Views
Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua Laana ni Nini Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa...
1 Reactions
8 Replies
429 Views
Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa 🙏
2 Reactions
22 Replies
569 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu . Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra...
11 Reactions
80 Replies
2K Views
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu. Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP...
11 Reactions
81 Replies
3K Views
Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele...
2 Reactions
6 Replies
274 Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana. Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Juzi hapa kakamatwa kijana aliejifanya kuwa ni officer wa jeshi la JWTZ umri maika 24 kuna vitu JWTZ wanatakiwa kubadilisha cha kwanza vitamburisho Vitambulisho vinavyotumiwa na wanajeshi wa JWTZ...
23 Reactions
154 Replies
4K Views
Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu...
14 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom