Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni...
1. Kumpa mtu kazi aidanye baada ya kumaliza umlipe ila umlipi kwa wakati kama alivyokamilisha kazi yako kwa wakati si vyema kutoa kazi ikiwa huna uhakika na malipo au unategemea uingiziwe ndo...
Jana tarehe 21 Feb 2025 mchana hivi kulikua na tatizo la mtandao CRDB BANK, nilipita ATM kutoa pesa lakini sikufanikiwa mtandao ulikua down Sana! Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu mengine...
Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo...
Miaka kadhaa hapo nyuma Katika harakati za kupambana na maisha nimewahi kuajiriwa Katika kampuni kubwa ya ULINZI binafsi hapa nchini Kwa Wakati huo kulikuwa na kampuni kubwa za ulinzi hapa mjini...
Jambo
Nataka kufungua kanisa/ministry hapa nchini, ni taratibu zipi za kisheria natakiwa kufuata ama kufanya ili iwe registered kikamilifu na kuanza huduma mbalimbali?
Ma consultants, na...
Urafiki,Kuchukiana, Mpaka mke/ Mme ulie nae Yuko na wewe kwa sababu ya Njaa, ngoja siku akijipata Kiuchumi ndo utajua Ukweli Wa Rangi za huyo mwenza wako.
"Hata watu wanaokusifia mda wote, wao...
Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi
Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan
Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali
Hee kivipi mbona...
"Kwa sasa meli nyigi za mizigo zinakataa kuja Zanzibar kutokana na usumbufu huo huku kukiwa na mamia ya makontena Zanzibar yaliyorundikana katiba bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa ziadi ya mwezi...
Wakuu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anaendelea na ziara yake mkoani Tanga. Asubuhi ya leo Alhamisi, Februari 27, 2025 ameandika katika kurasa zake za kijamii:
“Chai na vitumbua...
Nilimsikia mtumishi Mwamposa akisema kuwa kutakuwa na siku ya kuombea viongozi wa serikali.
Nikamshangaa ni kwa nini waombewe viongozi wakati wale wote waliotekwa na hiyo mamlaka hawajulikani...
Zab 95:8 SUV
[8] Msifanye migumu mioyo yenu; Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Meriba ni nini, na Masa ni kitu gani, kwanini Mungu anawakumbusha Waisraeli wasifanye mioyo yao...
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi...
KAMARI HAIKUANDALIWA ILI USHINDE: ACHA KUPOTEZA HELA ZAKO NA UWEZO WAKO WA KIAKILI
By
Æfrica Macka Bara
------------------------------------------
Katika ulimwengu wa michezo ya kamari, kuna...
Baba mdogo wa marehemu Naomi Marijani ambaye aliuawa na kuchomwa moto na magunia mawili ya mkaa, Robert Marijani amesema kuwa kama familia wameridhika na Hukumu iliyotolewa leo na upande wao sasa...
Meli ni sawa na Dunia inayoelea majini mwaka mzima masaa 24 yenye watu zaidi ya elf 10 sawa na uwanja wa mpira na wote wanahitaji huduma za kila siku.
Kazi ndani ya meli za utalii (cruise ships)...
Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa...
wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha.
elimu yangu nina bachelor...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema kuwa malipo ya benki moja kwenda nyingine yanapaswa kukamilika ndani ya saa mbili, na ikiwa mteja hajapata fedha yake ana haki ya kuishtaki benki husika kwa...
Ukiingia online pana diaspora kibao wanatoa connection jinsi gani mtu anaweza kwenda Ulaya, marekani,china, Singapore, Japan, Brazil, latin American, Canada nk ni wewe na wanatoa information zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.