Yani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa.
MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine.
MWALIMU anakaa na...
https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi...
Note;
Mwanamke mheshimu sana huyo mwanaume
Umeolewa naye,haijalishi yeye ni Nani.
Kuwa mnyenyekevu na acha kuonesha kwamba unajua Kila kitu.
Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo...
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali...
Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari
Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira
Tairi moja...
Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale
Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini...
Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
IMETOSHA! WANANCHI WA BUMBULI TUNAKATAA JINA LA JANUARY MAKAMBA
Kwa miaka 15 sasa, wananchi wa Jimbo la Bumbuli tumekuwa tukihadaiwa na ahadi zisizotekelezeka. Tumeshuhudia mbunge wa msimu...
Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi...
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku...
MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia.
Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu.
Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili.
Mwenyezi Mungu...
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU, AIBU, UTAPELI!! Ona...
Dah inasikitisha sana sanaa
Leoo nimekumbuka mbali sana sana
Mwaka 2017. KUNA mzee MMOJA Arusha alimkatalia Binti yake kuolewa na mfanyabiashara MMOJA
Baadae Binti akapata mimba akaenda...
Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu...
Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachilia huru Dk. wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Shauri Na.993 la mwaka...
Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump.
Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni...
Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe.
Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.