Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza achukizwa na kamata kamatwa inayofanywa na Jeshi la Polisi kwa Viongozi wa Walimu wasio na ajira ambao wamejitokeza kuikumbusha...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
“Walimu semeni shida zenu na wakati wote msijione duni, oneni namna Serikali inavyoweza kutatua changamoto zenu. Nataka niwakumbushe Watanzania kuwa ninyi ni nguzo ya taifa letu, zoezi hili...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Ninachojiuliza ni kwamba hawakujua au hawakufanya Survey ya eneo kabla ya kuweka Jukwaa ————————————— Tuzo za Trace kwa wasanii wa Afrika zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Visiwani Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Najua wazee wa prokotoo, ibanie ndani, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo Kula kwanza hicho chuma https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
5 Reactions
69 Replies
985 Views
Ada tuweke 1.5 m Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum. Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Wakuu, Licha ya kuwa asilimia kubwa ya watu wameacha tamaduni na mila zao za asili kwa utetezi kwamba zimepitwa na wakati. Lakini kuna msemo wa wahenga unasema mtu haachi asili yake,hata wewe...
4 Reactions
21 Replies
367 Views
MAMBO MAKUU UNAYOTAKIWA KUFANYA PALE UNAPOHISI KUTENGWA NA WAZAZI, NDUGU NA MARAFIKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi wamejikuta katika hatua ngumu na Mbaya katika maisha yao baada...
15 Reactions
49 Replies
997 Views
So I came to realize that it is all about time. Knowing 1. Where to put time 2. Where to take time 3. Where to time 4 where to be on time 5. Knowing the time 6. What will be on those time You...
3 Reactions
11 Replies
157 Views
Ismail Jussa, makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar aneleza kuwa licha ya kuwepo kwa muwekezaji katika bandari ya Malindi lakini bado kuna changamoto katika kushusha mizizgo ambapo meli...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Wakuu, Awali ya yote nitakachokiandika hapa naomba kieleweke kwa Jicho la tatu sio Jicho la kawaida. Mwaka 2025 ndio mwaka ambao wanaume wengi hususani vijana watakatisha uhai wao kwa wingi...
9 Reactions
33 Replies
929 Views
Habari wana JamiiForums! Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi...
3 Reactions
7 Replies
370 Views
  • Redirect
Kwa Wadau wa Waganga wa Kienyeji hivi Vitu Vitatu tajwa ndiyo vinatumika mno kwa Makafara na Kiunua Nyota Oktoba.
0 Reactions
Replies
Views
Bodi ya wakurugenzi pamoja na Menejimenti ya mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira katika manispaa ya Mpanda wamefika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kujifunza mbinu Bora za...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
1. Iweke mikakati ya haraka sana ya kuwapa mafunzo ya miaka miwili pindi tu wanapomaliza masomo yao na iwalipe robo tatu ya scale yao ya mishahara. 2. Serikali itoe mikopo ya zana za kilimo...
1 Reactions
4 Replies
115 Views
https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu. Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au...
4 Reactions
17 Replies
388 Views
  • Redirect
Wakuu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anaendelea na ziara yake mkoani Tanga. Asubuhi ya leo Alhamisi, Februari 27, 2025 ameandika katika kurasa zake za kijamii: “Chai na vitumbua...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom