Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika...
Ina urefu wa Kilomita 12
Ina kituo kimoja cha polisi
Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano
Ina bank moja tu
Ina hotel moja tu
Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote
Airport...
Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane...
Wakuu unaposoma tu weweunadhani lilikuwa jambo rahisi sana .........soma kwanza
Mwanzo 22:1Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
2...
Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu, Padri Elipidius Alfred Rwegoshora, ambaye ni miongoni...
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote
Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko...
Shule ya msingi Mlembea iliyopo wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ina jumla ya wanafunzi 62 tu shule nzima.
Idadi ya wanafunzi kuanzia la kwanza hadi la saba idadi yao ni 62 pekee. Ambapo...
"Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba...
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi...
Najua asilimia kubwa wakati tunasoma tulikuwa hatuwapendi walimu wa mathematics.
Tuingie kwenye story. Basi bwana mnamo mwaka 2007 mwezi wa kumi na mbili nikawa nimeenda kuchukua cheti pale...
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu...
Napenda kutoa malalamiko yangu makali na kero kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya fidia kwa ardhi tuliyotoa KIPUNGUNI kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa serikali. Taarifa ya tathmini ya...
Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika...
Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili!
MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD...
Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, baada ya kupima mkojo wa Wema Sepetu walibaini una bangi.
=========
SHAHIDI wa kwanza, Mkemia Elias Mulima...
Mileva Marić Einstein hiyu alikuwa mke wa kwanza wa Einstein.
Ushahidi unaonyesha kuwa alichangia kwa kiasi kikubwa katika nadharia ( theory ) za Einsten.
Lakini hakuwahi kupewa sifa yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.