Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hasira ni hisia ya kawaida ambayo kila mtu hupitia wakati mwingine. Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mtu kuwa na hasira, na zinaweza kutofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine...
4 Reactions
19 Replies
308 Views
Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
0 Reactions
2 Replies
332 Views
Habari, nimekaa nimewaza nipo Tanzania lakn naishi kama mkimbizi kula yangu km mpira wa danadana Kuna muda uanguke Kuna muda uturie mguuni, Imefika hatua wazazi nilienda likizo mara Moja...
3 Reactions
13 Replies
208 Views
Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna...
9 Reactions
47 Replies
884 Views
Za jion jamani. Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu. Anafanya kitendo hiki...
11 Reactions
67 Replies
16K Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania,JWTZ limepewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara vyenye thamani ya Tsh 16.9bn katika Shule za Sekondari 1,696 nchini kote. Leo akiongea na waandishi wa habari...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo...
26 Reactions
293 Replies
12K Views
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art" Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake... Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya...
2 Reactions
7 Replies
143 Views
Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa...
22 Reactions
69 Replies
2K Views
Kuna mambo mengine yanachekesha sana na kutafakarisha sana imagine mjini kuna vijwe vya wavuta bangi lukuki tena karibia kila mtaa na vina fahamika. Ajabu ni kwamba kuna baadhi ya police wanaishi...
5 Reactions
44 Replies
714 Views
Mada hii ni maalum kwa wale waliomaliza chuo, na hii inatokana na upungufu wa ajira, si tu Tanzania bali dunia nzima. Sasa ukizingatia wengi baada ya kumaliza vyuo hukimbilia mijini sana sana Dar...
23 Reactions
32 Replies
9K Views
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Vijana wengi wapo idle hawana kazi wana bet tu Naomba serikali iondoe Kodi kwenye uingizaji wa mashine za uzalishaji Vile vile Kuna ukiritimba wa uagizaji hasa wa zana za kilimo na pembejeo, Kuna...
5 Reactions
21 Replies
356 Views
Kwenye mahusiano / ndoa ukiona hakuna maelewano kati yenu daily ni magomvi yasiyokwisha solution ni Divorce , Matukio ya kikatili mke kuua mume / mume kuua mke huwa kuna red flag zinaonekana b4...
7 Reactions
28 Replies
502 Views
Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka...
4 Reactions
47 Replies
947 Views
Wakuu, Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya...
0 Reactions
33 Replies
788 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Wadau hamjamboni nyote? Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa...
0 Reactions
9 Replies
213 Views
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote Lengo ni kupeana elimu na kukumbushana wajibu wetu kwa mujibu wa Vitabu vitakatifu Nimeweka hapa chini ushahidi kuwa...
2 Reactions
22 Replies
306 Views
𝗡𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟱 𝗭𝗶𝗺𝗯𝗮𝗯𝘄𝗲 𝗶𝗺𝗲𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗿𝘂𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗮𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝘁𝗲 𝟯 𝗔𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶 Zimbabwe nchi kutoka Kusini mwa Afrika inaendelea kuonyesha maendeleo yake ya Sekta ya Teknolojia kwa upande wa Mawasiliano ya...
3 Reactions
9 Replies
185 Views
Back
Top Bottom