Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni.
Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio...
Nyuso za wanadamu zinazidi kuwa fupi zaidi, hii inasababisha kupoteza meno.
Kutokana na mabadiliko katika lishe, nyuso zetu zinapungua ukubwa, na tunakua na taya ndogo hii inamaanisha kuna kua...
Kwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy...
Mara nyingi mwehu ndama Huwa Sina shobo na haya mapombe yenu ya bei mbaya , Lakini kwa kuwa nimeshakuwa mshua , na vumba langu ndani ya chodo linasoma kimtindo basi ushua wangu haujifichi kuanzia...
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi...
Maji yanachukua takriban 70% ya uso wa dunia. Hata hivyo, bahari hizi ni za kina kifupi ikilinganishwa na ukubwa wa sayari yenyewe.
Na ni 0.5% tu ya maji ya dunia ambayo yanapatikana
hii...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na...
Wakuu asalaam aleykum!
Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya...
Ndugu zangu leo napenda kujua mambo gani ya msingi kipindi unapokosa kazi ni kipi cha kufanya kukabiliana na hali hii kwani mimi ni muanga wa kukosa kazi hivyo napenda kujua nini cha kufnya...
KWANZA kabisa nianze kwa salam.
Kuna hili wimbi la polisi wanachunguza LBL na kukamata baadhi ya wahusika. Inaweza kuwa hatua nzuri na hapa naomba niwakumbushe Kalyinda.
Mwaka 2022 ulikua...
Mshtakiwa katika Kesi Namba CC.5866, Baraka Benedicto ambaye anashtakiwa kwa kosa la ulawiti, licha ya kufika Mahakamani, Februari 26, 2025 ameshindwa kutoa ushahidi wake kama ilivyopangwa kwa...
Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa...
Maono ya taifa ni dira inayofafanua malengo makuu ya nchi kwa muda mrefu. Ni muhimu sana maono haya yatoke kwa wananchi wenyewe, kwani wao ndio wahusika wakuu na walengwa wa maendeleo.
Makala...
Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara.
Dereva...
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.