Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares! Angalia tatizo ni nini na mtupe maji! Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa...
0 Reactions
3 Replies
108 Views
Habari wana Jf nisiwachoshe tuende moja kwa moja kwenye uzi. katika mitaa yetu tunayoishi kumekua na tetesi nyingi zinazosambaa zikihusisha na kuelezea maisha ya jeshini(JKT) na kuonekana ni...
8 Reactions
137 Replies
5K Views
Mtu yoyote mwenye idea ya jinsi ya kupata link za tv channels kwenye iptv apps au ambae anauza link ya hizo channel anicheki pm 🙏
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Ni katika kuhangaika kupata maji leo asubuhi nikampanga kijana anaesambaza maji kwa kutumia gari akiniambia saa mbili asubuhi atakuwa ameshaleta hayo maji. Saa mbili na nusu nampigia kujua kama...
1 Reactions
43 Replies
657 Views
Habari za muda huu wana JF,nahitaji kufahamu ni mambo gani ya msingi yanayohitajika ili kuanzisha taasisi. Na je taasisi inaweza kuanzia ngazi ya Kijiji au kata? naombeni msaada wenu ndugu zangu.
0 Reactions
2 Replies
285 Views
Nimeamua kuachana na nyeto , mademu ,kamali ,makundi, mitandao na show off sasa nimetimizq miaka 24 nishakua mkubwa. Mungu akipenda mwakani nioe maana kazi ninayo serikalini
3 Reactions
25 Replies
315 Views
Je, serikali imeshindwa kabisa kuwaondoa na kuwadhibiti watoto hawa wa mitaani wanaolala chini ya daraja la Ubungo(Kijazi interchange) na ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kusafisha vioo vya...
6 Reactions
12 Replies
501 Views
Hivi kwanini hapa Tanzania matajiri au watu waliofanikiwa kimaisha hupenda kutuongopea kuwa wao wanafanya kazi kwa bidii? Kuna mmoja nlimskia anasema yeye hulala masaa matatu tu, hivi huo ni...
7 Reactions
16 Replies
353 Views
Iko hivi: kwenye Biblia kuna viashiria kadhaa vya kuaminika vinavyoweza kutupatia mwaka na mwezi Yesu aliozaliwa. Pia, vipo viashiria kutoka kwenye Biblia vinavyotuwezesha kujua mwaka Yesu...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu...
8 Reactions
111 Replies
4K Views
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza...
0 Reactions
8 Replies
924 Views
Mwaka Jana kati ya Julai na Oktoba kuliibuka matangazo mengi ya ubora na uzuri wa Iphone 15 na 16 copies! Tukaambiwa sio copy tu ni high copy! Mojawapo walioingia mkenge ni Mimi hapa! Nikaagiza...
9 Reactions
16 Replies
417 Views
Habarini wakuu, nina kero kuhusu ofisi za Kata ya Chamazi Magengeni zamani kilipokuwa kituo kidogo cha polisi. Majuzi wamekuwa wakikamata watu hasa wakina mama wanawachukua na bajaji mpaka kata...
1 Reactions
7 Replies
158 Views
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k. Sababu ya...
1 Reactions
24 Replies
417 Views
(Ameandika Malisa G. ) SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa...
52 Reactions
160 Replies
5K Views
📖Mhadhara wa 22: Ni kama zimeanza kujengeka fikra na hisia mbaya za kudhani kwamba kuwa SINGLE MOTHER ni kufeli maisha, au ni maumivu makubwa kuliko maumivu mengine yoyote hapa duniani. Kama una...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Habari zenu ndugu zangu , Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani...
45 Reactions
215 Replies
5K Views
Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana. Maana mtu akishakuwa na uraibu wa...
0 Reactions
10 Replies
307 Views
Wanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana. Mimi nina ka kabiashara kangu ambapo pia nimeweka uwakala wa Tigopesa na mitandao mingine. Mke wangu anasimamia hako ka biashara, hata...
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom